Wanaume hudumieni familia zenu

Sie watu wa pwani mtoto ni wa mama (matrilineal), uhudumie usihudumie shauri yako....sana sana tunamtafutia Baba mwingine akulelee.
Ndiyo dawa Yao...maana wanakuwa wakaidi
 
Watoto watateseka sana jamani
Nasemaje hii ndio kwanza imeanza mtakuwa masingo maza wengi kiasi kwamba mkienda kwa Mwamposifya kila unaegeuka nae ni singo maza mpaka mwamposifya nae atawachoka mana mpo wengi sana , badilikeni muwe na akili timamu muache akili za kushikiwa , tambueni kuwa huko tunakoelekea ni kugumu kuliko huko tunakotoka , hacheni ujinga wenu ndani ya hivyo vichwa vyenu.
 
Hila na nyie wanawake mnaomba sana kisa kuzaa ndo uniombe mpaka hela ya kiberiti

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Hela ya kiberiti ,chumvi , pilipili yaani hawa hawajitambui kabisa , tambueni kuzaa mtoto sio kigezo au kinga kwako you will be in trouble allways kama hautabadilika.... change your mind from north to south and west to east
 
La sivyo muache kuwataka wake zenu au wapenz wenu wazae.....msitese watoto....watoto hawana hatia.Wanaume wajibikeni katika familia zenu tafadhali
Kiukweli huu ujana baadae utakuja kuwafanya wajute

Una mtia demu mimba kisha unajiona mjanja kukimbia πŸ˜€πŸ˜€ kweli usela vima ..mwanaume mjanja lzm ufanye maamuzi ujue wakat gan sahihi wa kuzaa na ni demu gan uzae nae ..
 
Afu wanakuja kutukana single mom humu
 
Hela ya kiberiti ,chumvi , pilipili yaani hawa hawajitambui kabisa , tambueni kuzaa mtoto sio kigezo au kinga kwako you will be in trouble allways kama hautabadilika.... change your mind from north to south and west to east
Sawa mkuu Asante
 
Sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…