Yes Yes ndio maana nikauliza kwa kipengere A&Bhivi vitu ni kama sanaa, hakuna kanuni moja kwa wanaume wote, anachokipenda "John" sicho anachokipenda "Michael", and vice-versa.
Na kinachopendwa na "Mohammed" sio kwamba ndo kitapendwa na "Nasib" au "Amir", and vice-versa.
Wengine hawapendi kuzungushwa, wanataka jibu chap chap.
Wengine wapo tayari kusubiri, kuzungushwa zungushwa, (ku-play a long game, cat and mouse games.)
Sasa kama hana akaibe 😎Ukiwa unaomba vitu kama vocha, hela ya pedi, au nauli ya boda boda, wewe ni ombaomba, una ufukara uliopitiliza..!!
Hivi ni vitu vya msingi ambavyo mwanamke anayejitambua anapaswa kuwa navyo standby.
Huwa tunachoka zaidi pale meseji inapoingia "Baby i miss you" halafu inaishia na "...nina kashida ka elfu tano."
Obviously unaona kabisa hapo upo na tapeli la mapenzi.
Mzani uwe balanceToo much is harmful
Nimeipenda hiiHonestly niko A
Sipendi mizunguko Black &White ✅️
Longo longo nyingi kumaliza miti (sugu voice)Nimeipenda hii
Credit kwako umefafanua vyemahivi vitu ni kama sanaa, hakuna kanuni moja kwa wanaume wote, anachokipenda "John" sicho anachokipenda "Michael", and vice-versa.
Na kinachopendwa na "Mohammed" sio kwamba ndo kitapendwa na "Nasib" au "Amir", and vice-versa.
Wengine hawapendi kuzungushwa, wanataka jibu chap chap (availability, immediate response)
Wengine wapo tayari kuzungushwa zungushwa, kusubiri (ku-play a long game, cat and mouse games.)
Wewe unapenda heka heka🔥 safiii
Mie napenda majibu yote "A" na "B".Credit kwako umefafanua vyema
Wewe una penda je et😉
Mwanamke ndio kiumbe pekee anaeweza kuijenga thamani yake au kuibomoa. Sisi men tunaenda tu na beat.
Hata Mwanamke uwe pisi kama malaika ukijiweka cheap utadharaulika na kutongozwa na kila mtu.
Huku wanaojua thamani yao wakiendelea kuogopwa na wanaume cheap maana kuna standard walioiweka, Huku wakifatwa na wanaume wenye power regardless na uzuri waluo nao .Sometimes wanaume tunavutiwa na haiba. sio mwanamke unajichekesha chekesha tu na kila kiumbe kama tahira na uko available kwa kila mtu.
Asante kaka👍Mie napenda majibu yote "A" na "B".
Mwanamke akiwa available sawa, asipokuwa available sawa.
Sabb mwanamke ni mtu huru afanye maamuzi yake mwenyewe
Jivunie DadNimekuza...!View attachment 3573832
Nakusubiri hapaHold on....🙇♂️
❤❤❤❤❤💥Jivunie Dad
Nimeelewa vizuri kwa upande huo kama tayari mpo kwenye mapenzi kwangu mimi naona ukimbania sana mwanaume naona kama anaweza kuhisi kuna mtu mwingine anaekula mzigo. Naongelea hiyo kumzungusha zungushaUmeandika vizuri sana, nakukubali kwa point zako 👍
Ila labda sikueleweka vizuri kakq kwenye sikusema
Sijasema kwamba mwanamke awe available kwa kila mtu nilikuwa namaanisha kwa mpenzi wake tu
Kwa sababu kama mtu yupo available kwa kila mtu, hapo tayari issue ni tofauti kabisa heshima inakuwa haipo hapo
Nilichokuwa najaribu kuuliza ni ile dynamics ya relationship how availability in a romantic relationship between two partners is perceived not outside interactions
Shukran kaka umeeleweka mnoo🫡Nimeelewa vizuri kwa upande huo kama tayari mpo kwenye mapenzi kwangu mimi naona ukimbania sana mwanaume naona kama anaweza kuhisi kuna mtu mwingine anaekula mzigo. Naongelea hiyo kumzungusha zungusha
Na prefer mwanamke ambae yupo available na sio tuanze tena kusumbuana wakati tayari tupo kwenye penzi.