ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #61
Hauoni kinyaaa kila siku papuchi mpya🤮 unawezaje 🤔Sisi huku Tandika tuna mabwenga wetu wa kujisevia fasta fasta, hayo mambo ya kupenda tunawaachia nyinyi
Hauoni kinyaaa kila siku papuchi mpya🤮 unawezaje 🤔Sisi huku Tandika tuna mabwenga wetu wa kujisevia fasta fasta, hayo mambo ya kupenda tunawaachia nyinyi
Sijamaanisha kumendea mwanamke kwa mala ya kwanza nooSikweli kuwa wanaume tunapenda wanawake wagumu kuwapata.
Mwingine anaweza tu akawa na dharau na majigambo sababu ya status yake labda uzuri, pesa au kazi nzuri na akaonekana kama mgumu kupatikana lakini kiuhalisia hana thamani ya kuishi naye kama mke.
Ukweli ni kwamba wanaume tunapenda wanawake wenye thamani.
Hapa naongelea tabia zake mfano heshima, nidhamu, uwajibikaji, uelewa wa hali, usafi n.k bila kujali kazi yake wala urembo.
Hawa si wagumu kuwapata kama thamani zenu zinafanana.
Nisumbue uone and vice versa is trueUmeuliza swali dogo ila kwa urefu sana. Mimi naweza kujibu kwa kutegemea na malengo yenu ya mahusiano..
Kwa akili zangu hizi nione kwamba ukipatikana sana ndio cheap nikidharau? Au ukiniletea drama sana ndio nifanye kufocus sana kwako hell no, nisumbue uone and vice versa is true.
Tuishi humo hakuna namna. vinginevyo acheni drama tupeni amani.Nisumbue uone and vice versa is true
👆😁😁 we noma
Drama 🚮Tuishi humo hakuna namna. vinginevyo acheni drama tupeni amani.
Wewe Fanya huo upuuzi utaachika mapema au utatafutiwa mbadala wako, hisia za mapenzi za mwanaume zipo juu sana tofauti na mwanamke kwahiyo akiitaji anataka apate kwa wakati na mwanaume anaamini moja kati ya kigezo kuwa anapendwa ni pamoja na Hilo, ukiwa unamzungusha automatically kwenye fikra zake ataamini kuwa una mwanaume mwingine au Huna hisia nae tena.Wanaume kinachowakera ni ile hali ya kutafutwa sana kwenye mawasiliano ndio huwa anaweza kukuchukulia cheap ila sio kwenye sex labda umpate mwanaume ambaye ni shogaUmeniliewa vema mimi hapa nimezungumzia watu ambao tayali wana date sio issue za ku approach
Nilisoma sehemu hasa mwanaume alikua anatoa ushauri kwa wanawake namna ukijifanya available kwa mpenzi wako namna anavyoweza kukuchukulia so akawa anawaambia sometime mwanaume wako akikuita kaza usipatikane mda wote
Sasa nikawa najiuliza kwahiyo kua na drama za hapa na pale ndio mnapenda🤔
Wewe unapata wanawake wasio na hisia na wewe asikuambie mwanamke wanapenda sex ile mbaya hasa akikupenda au akiwa na sexual desire kubwa Mimi nimpata mmoja mpaka niliomba poo unaweza kusex nae Leo keshokutwa akataka Tena ndani ya wiki akawa anataka mara 4 wakati mwingine na akawa anataka nifanye nae mpaka siku za hatari.siku za mwanzoni za mahusiano Mimi ndio nilikuwa naomba ila Mambo yakabadilika baadae yeye ndio akawa anaomba sana unaitwa ghetto lake upige mzigo anakuandalia kila kitu kazi inakuwa kwako mwamba ilifika kipindi Sasa inabidi nidanganye siku nyingine nisiende maana nilikuwa nachoka na tena ni mdada na Hana mtoto ShesRise_1 jamaa anaishi ulimwengu gani au anapata wanawake wa aina ganiUkiona demu anakuomba tendo ujue anataka hela au kitu chenye thamani ya pesa
Wanaume Kinachowakera ni ile hali ya kutafutwa sana kwenye mawasiliano ndio hua anaweza kukuchukulia cheap ila sio kwenye sex labda umpate mwanaume ambaye ni shogaWewe Fanya huo upuuzi utaachika mapema au utatafutiwa mbadala wako, hisia za mapenzi za mwanaume zipo juu sana tofauti na mwanamke kwahiyo akiitaji anataka apate kwa wakati na mwanaume anaamini moja kati ya kigezo kuwa anapendwa ni pamoja na Hilo, ukiwa unamzungusha automatically kwenye fikra zake ataamini kuwa una mwanaume mwingine au Huna hisia nae tena.Wanaume kinachowakera ni ile hali ya kutafutwa sana kwenye mawasiliano ndio huwa anaweza kukuchukulia cheap ila sio kwenye sex labda umpate mwanaume ambaye ni shoga
Haja pendwa bado au ana kasoro fulaniWewe unapata wanawake wasio na hisia na wewe asikuambie mwanamke wanapenda sex ile mbaya hasa akikupenda au akiwa na sexual desire kubwa Mimi nimpata mmoja mpaka niliomba poo unaweza kusex nae Leo keshokutwa akataka Tena ndani ya wiki akawa anataka mara 4 wakati mwingine na akawa anataka nifanye nae mpaka siku za hatari.siku za mwanzoni za mahusiano Mimi ndio nilikuwa naomba ila Mambo yakabadilika baadae yeye ndio akawa anaomba sana unaitwa ghetto lake upige mzigo anakuandalia kila kitu kazi inakuwa kwako mwamba ilifika kipindi Sasa inabidi nidanganye siku nyingine nisiende maana nilikuwa nachoka na tena ni mdada na Hana mtoto ShesRise_1 jamaa anaishi ulimwengu gani au anapata wanawake wa aina gani
Unataka kufundishwa kuomba penzi kwa inaemuita mpenzi wako 😁😁😁Kabla sijabu swali lako, naomba unijuze kuhusu njia/namna ya kuomba penzi kwa mpenzi. ShesRise_1
Kwanini una unakua na mawazo ya ku cheat iwa
Ya nini kuhangaika na mmoja tu ambaye naye baadae anaweza kuja kuku cheat.
Kataa usinzi mkubal yesu.Usikubal mwil ukutawale.Piga mwil wako chata ya yesu.Usisem n mpwek Yesu yupo.Usisahau mwish wa tamaa mwishow n mauti.Sipendi kupotezeana muda.
Nikihuhitaji hutaki natafuta mwingine binadamu tupo 7 billion.
Ya nini kuhangaika na mmoja tu ambaye naye baadae anaweza kuja kuku cheat.
Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagu nyeto kwako ndio borq sisi tutafanyaje 😁 kila la kheri katika kukinyongonyeza hicho ki dudeMm naogopa kuzin na kuna maradhi sugu.mm nanyetuka tuh na mambo yanakuwa sawa
Leo umemua kuhubiriKataa usinzi mkubal yesu.Usikubal mwil ukutawale.Piga mwil wako chata ya yesu.Usisem n mpwek Yesu yupo.Usisahau mwish wa tamaa mwishow n mauti.
Leo umemua kuhubiri
Tulia kijana sawa