Wanaume hupenda wanawake wagumu kupatikana?

Wanaume hupenda wanawake wagumu kupatikana?

Kwa maana wewe utakuwa una mwanaume mwingine tofauti na yeye na yeye ana mwanamke mwingine in short nyinyi mpo kwenye sex orientation si mahusiano ila mnamahusiano mengine
Jamanii sexual Orientation kwa 5+yrs??
Hapana bhana sisi ndio mtindo wa maisha yetu huu.
 
Wewe unapata wanawake wasio na hisia na wewe asikuambie mwanamke wanapenda sex ile mbaya hasa akikupenda au akiwa na sexual desire kubwa Mimi nimpata mmoja mpaka niliomba poo unaweza kusex nae Leo keshokutwa akataka Tena ndani ya wiki akawa anataka mara 4 wakati mwingine na akawa anataka nifanye nae mpaka siku za hatari.siku za mwanzoni za mahusiano Mimi ndio nilikuwa naomba ila Mambo yakabadilika baadae yeye ndio akawa anaomba sana unaitwa ghetto lake upige mzigo anakuandalia kila kitu kazi inakuwa kwako mwamba ilifika kipindi Sasa inabidi nidanganye siku nyingine nisiende maana nilikuwa nachoka na tena ni mdada na Hana mtoto ShesRise_1 jamaa anaishi ulimwengu gani au anapata wanawake wa aina gani
Tru, mwanamke akikupenda no mjadala
 
Ni mwanamke wangu tena then anletee drama, ? Ukweli ni kwamba wengi tunapoteza interest kwa mwanamke wa namna hyo.

Mwanamke anatakiwa awe loyal kwa mwanamme wake hata nkikuamsha usiku wa manane nahitaji tendo inatakiwa ufanye hvo.

Hyo ndyo maana halisi ya mahusiano yenye afya lakini sio kusumbuana bila sababu za msingi et kwamba utaongeza mvuto kwa mtu wako ni uwongo unaua mvuto 100%
 
Back
Top Bottom