Wanaume hupenda wanawake wagumu kupatikana?

Wanaume hupenda wanawake wagumu kupatikana?

Sijamaanisha kumendea mwanamke kwa mala ya kwanza noo

Ni hivii: naongelea wale ambao tayali ni wapenzi kwamba mwanamke ikiwa atapatika kila anapohitajika kwa mpenzi wake bila drama eti inapelekea aonekane cheap kwa mpenzi wake au kuchokwa?

Kwamba mnapenda kusumbuliwa
Mwanamke akiwa active unamdharau?
Anhaa!!

Kama mpo kwenye mahusiano tayari, ukaribu ni wa muhimu sana.

Na hapo lazima effort ziwe za pande zote, kama wewe ukimuhitaji siyo kingono tu hata mambo mengine, anakuwa mwepesi kufanya, pia nawewe ukihitajiwa unapatikana kirahisi, hapo sioni kama kuna tatizo.

Lakini kama juhudi ni za upande mmoja tu, yaani mmoja ndiyo anamtumia mwingine lakini yeye akihitajiwa kutoa support anapiga viswahili, hiyo ni red flag.

Wahuni watakutumia,
Wakikuchoka watakuacha,
Kimbia.
 
Umeongea vizuri kijana saafi
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mahusiano yangu na Ba tamu, ni km kundi la wahalifu. Kuna muda huwa tunasahau km tuko kwenye dating.

Unajua ile long distance relatns, afu ile ya I don't care,? Bas ndo tuko nayo sisi.
Sasa ukiwa na nyege zako unazitibu vipi ikiwa una mpenzi wa mbali?
 
Mara nyingi humu JF nimeona wanaume ndio wanaoandika sana mada zinazohusu wanawake, na wakati mwingine inafika hatua unaona kama kuna complaints nyingi kuhusu wanawake.

Leo nataka kuuliza jambo kwa wanaume na wanawake pia karibuni tujadili kwa heshima na uhalisia 👇

Mara nyingi nimekuwa nikisikia kwamba:

Mwanaume hapendi mwanamke ambaye yupo too available anapomhitaji. Mfano, mwanaume akikuhitaji na wewe unapatikana bila excuses, kuna wanaosema mwanaume anaweza kuona kama wewe ni too easy au hata cheap

Sasa swali langu ni:
Ni kweli mwanaume anaona mwanamke wa namna hiyo hafai au ni assumption tu ya mitaani? Au kweli mnataka ile chase game yaani kidogo mkimbizane kama jogoo na kuku?
Kipengele A vs B:

A: Unapenda mtu anayekuelewa ukimuhitaji, on time yupo.

B: Au unapenda ule wa kumbembeleza kidogo, mpaka drama kidogo ndiyo anakubali? 😜
Na je, ni kweli kwamba mwanamke akiwa too available kwa mwanaume wake, inaweza kumfanya amchoke au amdharau?

Pia nimewahi kusoma sehemu mtu akisema:

“Ukitaka mwanaume akudharau, muombe sex wewe wa kwanza. Sasa hapa nauliza, ni kweli wanaume hampendi kuombwa? Na kama ukiombwa, unamchukuliaje mpenzi wako unamdharau au ni mitazamo tu ya watu? Na kwa wadada pia. Unaogopa kuomba attention/affection kwa mwanaume wako?

Kama ndio, why? Tuambiane ukweli bila kujificha. Wanaumeeeeee, igweeeeeeeee 🔥💬

ShesRise_1 😎
Mimi Naishi katika falsafa ya "Usinikubali haraka".
Mwanamke atakayenikubali haraka naamini hanipendi ila kuna kitu kafuata kwangu kwa maslahi binafsi hivyo ni kupita na kumuacha haraka. Mwanamke wa kunifikiria muda mrefu Kisha likaja jibu la ndio anakuwa na upendo wa dhati na malengo mema kwa pande zote.
Hivyo basi "msinikubali haraka".
 
Dah wewe unataka mizunguKo😁
Sawa bhana japo nilimaanisha wale tayali ni wapenzi so labda ukamuita babe leo niko hot njoo je unaoenda akuzungushe zungushe
 
Sasa ukiwa na nyege zako unazitibu vipi ikiwa una mpenzi wa mbali?
Mie na mpenzi wangu wala hatuishi mbali mbali, kutoka kwangu hadi kwake kwa bajaji, au bolt ni 3k.

Ila mtindo wa maisha yetu, ndio uko km tunaishi mbali mbali, na hata hivyo yaan ile ya I don't care, tunaweza kaa hata week hakuna salamu wala nini.

Yeye akijisikia ananitimbia magheton kwangu kunichukua, au mie nikijisikia namtimbia maskani kwake. Afu ile ya kushtukiza sasa.

Tumeshazoea yaani. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuachana ni ngumu bado mpo mpo kwanza😁
 
Nayeye akiwa na nyege inakuwaje anatakiwa anipe hela au punguza kuwaona wanawake kama special group
Nature ya mwanaume ameumbwa kutoa na mwanamke kupokea huwa Hilo huwezi kulibadilisha. Na heshima au utu wa mwanamke upo kwenye uchi wake na ndio inakuwa si rahisi mwanamke kutoa uchi wake ukiona anakupa mara kwa mara ujue kafall in love.Mzee baba jifunze kutoa hata kwa kidogo au kutoa hata zawadi basi wanawake wameumbwa kwaajili yetu tofauti na hapo itakuwa ngumu kupata mwanamke
 
Mimi Naishi katika falsafa ya "Usinikubali haraka".
Mwanamke atakayenikubali haraka naamini hanipendi ila kuna kitu kafuata kwangu kwa maslahi binafsi hivyo ni kupita na kumuacha haraka. Mwanamke wa kunifikiria muda mrefu Kisha likaja jibu la ndio anakuwa na upendo wa dhati na malengo mema kwa pande zote.
Hivyo basi "msinikubali haraka".
Mkuu mwanamke kuchukua muda kukubali haimanishi kuwa kakupenda au ana Nia njema juu yako Hilo inabidi ujue, unaweza kuwa kwa wakati huo umewekwa pending kwasababu Kuna mwingine ana thamani au umuhimu kwa wakati huo wewe unakuwa kama backup ikitokea hakaharibu au akashindwana na huyo mwanaume wake
 
Mie na mpenzi wangu wala hatuishi mbali mbali, kutoka kwangu hadi kwake kwa bajaji, au bolt ni 3k.

Ila mtindo wa maisha yetu, ndio uko km tunaishi mbali mbali, na hata hivyo yaan ile ya I don't care, tunaweza kaa hata week hakuna salamu wala nini.

Yeye akijisikia ananitimbia magheton kwangu kunichukua, au mie nikijisikia namtimbia maskani kwake. Afu ile ya kushtukiza sasa.

Tumeshazoea yaani. [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa maana wewe utakuwa una mwanaume mwingine tofauti na yeye na yeye ana mwanamke mwingine in short nyinyi mpo kwenye sex orientation si mahusiano ila mnamahusiano mengine
 
Haya mnajitungia hakuna kupokea wala kutoa ni wewe tu huwezi kubalance nyege zako na huwezi kutongoza hadi utoe hongo ndio upewe

Yani mwanamke yeye aumbwe kupokea tu tena pesa na zawadi uongo huu
Wewe ndio umetoka nje ya mada, mada inazungumzia wapenzi ambao wapo kwenye mahusiano na Mimi hoja yangu imejikita humo sijui kwanini kiswahili kinakuwa kigumu kiasi hicho kiasi ambacho inakuwa ngumu kueleweka ninaposema uwe unampa Binti wa watu hata kidogo au vizawadi Mimi nalenga kwenye mahusiano Sasa kama hivyo hufanyi Binti wa watu ataendelea vipi kukupenda na mahusiano yenu yataimarika vipi
 
Back
Top Bottom