Wewe unapata wanawake wasio na hisia na wewe asikuambie mwanamke wanapenda sex ile mbaya hasa akikupenda au akiwa na sexual desire kubwa Mimi nimpata mmoja mpaka niliomba poo unaweza kusex nae Leo keshokutwa akataka Tena ndani ya wiki akawa anataka mara 4 wakati mwingine na akawa anataka nifanye nae mpaka siku za hatari.siku za mwanzoni za mahusiano Mimi ndio nilikuwa naomba ila Mambo yakabadilika baadae yeye ndio akawa anaomba sana unaitwa ghetto lake upige mzigo anakuandalia kila kitu kazi inakuwa kwako mwamba ilifika kipindi Sasa inabidi nidanganye siku nyingine nisiende maana nilikuwa nachoka na tena ni mdada na Hana mtoto
ShesRise_1 jamaa anaishi ulimwengu gani au anapata wanawake wa aina gani