Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Unataka mkeo au mwanamke wako awe kama vile unavyotaka awe wakati wewe binafsi hutaki kuwa kama yeye anavyotaka uwe
Najua nimewachanganya kidogo au sio
Iko hivi: unataka mwanamke wako akuheshimu na kukusikiliza lakini wakati huo huo nawe haumu onyeshi mapenzi,kwasababu wanawake wanahitaji mapenzi ili waone wanapendwa kama ambavyo wanaume wanahitaji heshima ili wajue wanapendwa.
Kwahiyo kitendo cha mwanaume kutofanya yale ambayo mwanamke anapenda ndio chanzo cha wanawake kuleta matatizo mengi kwa waume zao
Hapo wataonyesha jeuri,visirani utomvu wa nidhamu na hata kucheza mechi za ugenini watacheza kwasababu tu,hawapati yale ambayo wanayataka kutoka kwako
Ili mambo yaende sawa walau kwa kiasi fulani wakati wewe unataka mwanamke wako awe kama vile umavyotaka awe basi na wewe kuwa kama naye anavyotaka wewe uwe,,hiyo ni win win situation.
Sina mambo mengi
Ni hayo tu!