Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
- Thread starter
- #21
Kwahiyo kumpenda mkeo kutaharibu maisha yako?U
Utakuwa Punda wa wanawake kwa sababu ya kupenda chini......have focus in your life bro.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo kumpenda mkeo kutaharibu maisha yako?U
Utakuwa Punda wa wanawake kwa sababu ya kupenda chini......have focus in your life bro.
Maandishi ya mwanzo yako vizur sana ila paragrafu ya mwisho kama umefeli hivi,,,na ndiyo niliyo zungumzaInaanzaga heshima afu ndio mapenzi yanafuata, ili mwanamke akupende kwanza lazima akuheshimu, ushasikia msemo "Women break rules for men they love", Do you know why? sababu ni heshima, mwanamke atakutest kwenye mahusiano kuona kama unastahili heshima.
.
Kitu kingine, mwanamke ndio anakuwa vile mwanaume anataka, sio kinyume chake.
Cha ajabu viumbe wawili ambao kutwa kukosoana lakini cha ajabu wanakulana 🤣🤣🤣🤣🤣womens are complicated bro!View attachment 3030993
Ufalme wenye democracy mara nyingi ni rahisi kufitinika.Sikuwahi kumuona Babu yangu akimuita Bibi yangu baby, wala kuonyesha aina yoyote ya utii kwa bibi yangu. Mara zote nilimuona Bibi yangu ni mtu wa kupokea maelekezo na kutekeleza bila ya kuwa na maswali mengi, BTW wameishi kwenye ndoa zaidi ya miaka 50. Siku zote nilimuona bibi ni mtu wa furaha tu.
Huu ushenzi wa kuleta 'demokrasia' kwenye mahusiano/ndoa utawagharimu sana
Tafuta hela ndugu yangu, nilikuwa nadhani huku Ulaya pia kuna haki sawa. Haki sawa ni kwa wanaume masikini. Huku unakuta mtu ana mke na ana kimada na mke anatulia kimya. Kama hauna hela ndio unatakiwa kumsikiliza mwanamke. Lakini kama una hela na umeipata kwa tabu, ishi inavyotaka mkuu na kuna watu kibao wataku-support.Unataka mkeo au mwanamke wako awe kama vile unavyotaka awe wakati wewe binafsi hutaki kuwa kama yeye anavyotaka uwe
Najua nimewachanganya kidogo au sio
Iko hivi: unataka mwanamke wako akuheshimu na kukusikiliza lakini wakati huo huo nawe haumu onyeshi mapenzi,kwasababu wanawake wanahitaji mapenzi ili waone wanapendwa kama ambavyo wanaume wanahitaji heshima ili wajue wanapendwa.
Kwahiyo kitendo cha mwanaume kutofanya yale ambayo mwanamke anapenda ndio chanzo cha wanawake kuleta matatizo mengi kwa waume zao
Hapo wataonyesha jeuri,visirani utomvu wa nidhamu na hata kucheza mechi za ugenini watacheza kwasababu tu,hawapati yale ambayo wanayataka kutoka kwako
Ili mambo yaende sawa walau kwa kiasi fulani wakati wewe unataka mwanamke wako awe kama vile umavyotaka awe basi na wewe kuwa kama naye anavyotaka wewe uwe,,hiyo ni win win situation.
Sina mambo mengi
Ni hayo tu!
Je alikwambia kuwa ana furaha?Sikuwahi kumuona Babu yangu akimuita Bibi yangu baby, wala kuonyesha aina yoyote ya utii kwa bibi yangu. Mara zote nilimuona Bibi yangu ni mtu wa kupokea maelekezo na kutekeleza bila ya kuwa na maswali mengi, BTW wameishi kwenye ndoa zaidi ya miaka 50. Siku zote nilimuona bibi ni mtu wa furaha tu.
Huu ushenzi wa kuleta 'demokrasia' kwenye mahusiano/ndoa utawagharimu sana
Naona kuna kitu hujakielewa kuhusu kisa cha hawa na adamMtu kaonja tunda kajijua yupo uchi, akajua nikosa, ila akajisemea ahha kwa hii shepu huyu umbwa hatoki katiwoki ikaanzia hapo mpaka kwa Adam kuumpa tunda ili mradi wote waharibikiwe, ila ange ange anza adam asinge mpa mkewe.
Fear ladys
Unapata mashaka kwasababu unaogopa ukweliJinsia yako tafadhali.
Maana niki ona mwanaume ana anzisha mada za kutusema wanaume wenzake as if ye ana jua sanaa, napata mashaka
Hata huelewekiUnataka mkeo au mwanamke wako awe kama vile unavyotaka awe wakati wewe binafsi hutaki kuwa kama yeye anavyotaka uwe
Najua nimewachanganya kidogo au sio
Iko hivi: unataka mwanamke wako akuheshimu na kukusikiliza lakini wakati huo huo nawe haumu onyeshi mapenzi,kwasababu wanawake wanahitaji mapenzi ili waone wanapendwa kama ambavyo wanaume wanahitaji heshima ili wajue wanapendwa.
Kwahiyo kitendo cha mwanaume kutofanya yale ambayo mwanamke anapenda ndio chanzo cha wanawake kuleta matatizo mengi kwa waume zao
Hapo wataonyesha jeuri,visirani utomvu wa nidhamu na hata kucheza mechi za ugenini watacheza kwasababu tu,hawapati yale ambayo wanayataka kutoka kwako
Ili mambo yaende sawa walau kwa kiasi fulani wakati wewe unataka mwanamke wako awe kama vile umavyotaka awe basi na wewe kuwa kama naye anavyotaka wewe uwe,,hiyo ni win win situation.
Sina mambo mengi
Ni hayo tu!
Iko hivi,,hela itatafutwa uwe single au na mwenza,,tuache kisingizio cha kutafuta hela na kuukwepa ukweliTafuta hela ndugu yangu, nilikuwa nadhani huku Ulaya pia kuna haki sawa. Haki sawa ni kwa wanaume masikini. Huku unakuta mtu ana mke na ana kimada na mke anatulia kimya. Kama hauna hela ndio unatakiwa kumsikiliza mwanamke. Lakini kama una hela na umeipata kwa tabu, ishi inavyotaka mkuu na kuna watu kibao wataku-support.
Wapi hujaelewa nikusaidieHata hueleweki
Ukimpenda mtu lazima utakuwa na mda tuKama Bado una muda huo mkuu kazi unayo asee
HAtuwapaishi hata kidogo,,tusiogope kuzungumza ukweli hata kama unakeraMna wapaisha sana hawa watu
Wapi hujaelewa nikusaidie