Wanaume huu ndio ukweli ambao hamjawahi kuambiwa

Wanaume huu ndio ukweli ambao hamjawahi kuambiwa

Unataka mkeo au mwanamke wako awe kama vile unavyotaka awe wakati wewe binafsi hutaki kuwa kama yeye anavyotaka uwe

Najua nimewachanganya kidogo au sio

Iko hivi: unataka mwanamke wako akuheshimu na kukusikiliza lakini wakati huo huo nawe haumu onyeshi mapenzi,kwasababu wanawake wanahitaji mapenzi ili waone wanapendwa kama ambavyo wanaume wanahitaji heshima ili wajue wanapendwa.

Kwahiyo kitendo cha mwanaume kutofanya yale ambayo mwanamke anapenda ndio chanzo cha wanawake kuleta matatizo mengi kwa waume zao

Hapo wataonyesha jeuri,visirani utomvu wa nidhamu na hata kucheza mechi za ugenini watacheza kwasababu tu,hawapati yale ambayo wanayataka kutoka kwako

Ili mambo yaende sawa walau kwa kiasi fulani wakati wewe unataka mwanamke wako awe kama vile umavyotaka awe basi na wewe kuwa kama naye anavyotaka wewe uwe,,hiyo ni win win situation.

Sina mambo mengi

Ni hayo tu!
Hv hii dunia ya Leo, bado kuna watu wanasumbuliwa na mapenzi, na kinachoendelea kwenye vichwa vya watu?
Seriously,
Poleni Sana, mahusino mazuri ni kity poa Sana, ila kwangu sio silver bullet ya maisha Bora na raha, nawaza kununua V8 ya 400M, na kujenga ghorofa kama ya kingjada hotel morroco Dar,watu wa nawaza ka kiungo kapo Kati Kati ya miguu!
 
Inaanzaga heshima afu ndio mapenzi yanafuata, ili mwanamke akupende kwanza lazima akuheshimu, ushasikia msemo "Women break rules for men they love", Do you know why? sababu ni heshima, mwanamke atakutest kwenye mahusiano kuona kama unastahili heshima.
.
Kitu kingine, mwanamke ndio anakuwa vile mwanaume anataka, sio kinyume chake.
N A K A Z I A
 
Back
Top Bottom