Wanaume huu ndio ukweli ambao hamjawahi kuambiwa

Maandishi ya mwanzo yako vizur sana ila paragrafu ya mwisho kama umefeli hivi,,,na ndiyo niliyo zungumza

Linapokuja swala mapenzi,,wote tunahitaji mapenzi,kuhisi unapewa kipaumbele,unapewa thamani na mambo kama hayo,je iweje mke asitake hayo?

Hapo tunafeli big time
 
Mtu kaonja tunda kajijua yupo uchi, akajua nikosa, ila akajisemea ahha kwa hii shepu huyu umbwa hatoki katiwoki ikaanzia hapo mpaka kwa Adam kuumpa tunda ili mradi wote waharibikiwe, ila ange ange anza adam asinge mpa mkewe.
Fear ladys
 
Ufalme wenye democracy mara nyingi ni rahisi kufitinika.
 
Tafuta hela ndugu yangu, nilikuwa nadhani huku Ulaya pia kuna haki sawa. Haki sawa ni kwa wanaume masikini. Huku unakuta mtu ana mke na ana kimada na mke anatulia kimya. Kama hauna hela ndio unatakiwa kumsikiliza mwanamke. Lakini kama una hela na umeipata kwa tabu, ishi inavyotaka mkuu na kuna watu kibao wataku-support.
 
Jinsia yako tafadhali.

Maana niki ona mwanaume ana anzisha mada za kutusema wanaume wenzake as if ye ana jua sanaa, napata mashaka
 
Je alikwambia kuwa ana furaha?

Huenda huko zamani waliambiwa wawatii waume zao iwe jua iwe mvua lkn deep down walikuwa wanaumia sana

Siku zote penda kuwafanyia watu yale unayopenda wewe

Unaweza usimwite maneno ya mahaba lkn ukawa na upendo mkubwa ambao atauthamini daima

Upendo kwa wanandoa ndio kila kitu
 
Mtu kaonja tunda kajijua yupo uchi, akajua nikosa, ila akajisemea ahha kwa hii shepu huyu umbwa hatoki katiwoki ikaanzia hapo mpaka kwa Adam kuumpa tunda ili mradi wote waharibikiwe, ila ange ange anza adam asinge mpa mkewe.
Fear ladys
Naona kuna kitu hujakielewa kuhusu kisa cha hawa na adam

Kama angempa tunda unalosema wewe si wangevua ndio walile,sasa wangejikuta uchi kivip wkt walivua nguo?
 
Hata hueleweki
 
Iko hivi,,hela itatafutwa uwe single au na mwenza,,tuache kisingizio cha kutafuta hela na kuukwepa ukweli

Binadamu yoyoye anayejitambua hatamtumia kipenz chake kama daraja eti kisa tu yeye ni mwanaume,,bali atahakikisha anamfanya awe na furaha na amani, kama ambavyo yeye anapenda awe na furaha na amani

Kama hamjui mapenzi ni nini,basi muwe single daima
 
Naona watu mnamwelewa vibaya mtoa mada Etugrul Bey .....Kupewa mapenzi ni haki ya mwanamke kama ilivyo haki yako mwanaume kuheshimiwa na mwanamke na kusikilizwa, sasa usipompa mapenzi mkeo mimi ntampa alaf ole wako uje umkaripie mchepuko wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…