Wanaume huu ndio ukweli ambao hamjawahi kuambiwa

Mtoa mada yupo sahihi kwa mtazamo wake na wachangiaji nao wapo sahihi kwa mtazamo wao.
Namba "9" Kuna Moja ataiona kama 6 na mwingine kama 9, kutegemeana na position!

Anyway, ningemwelewa vizuri mchangiaji kama ningejua... Je, ana "Mke" au ana "Mchumba" na kama ana "Mke" ni kwa muda (Umri) gani?
 
Mwanaume halisia huwezi kuwa kama mwanamke anavyotaka. Utawehuka, maana wanawake hawaeleweki.

Mwanamke ndiyo anapaswa kufuata mwanaume anachotaka.
 
Nilikuwa kwenye ndoa kwa miaka saba
 
Mwanaume halisia huwezi kuwa kama mwanamke anavyotaka. Utawehuka, maana wanawake hawaeleweki.
Kuna uelewa mbaya sana miongoni mwetu

Tofautisha kuwa kichwa cha familia na kumpenda mkeo

Kichwa cha familia ni kuwa kiongozi na mlezi wa familia yako na mwamuzi wa mwisho

Lakini kupenda ni kujali,kuthamini hisia zake na kumpa furaha
 
Ndugu yangu bado haujauona mwanga ngoja kichwa chako kijae mambo mengi halafu urudi utueleze kama utapata muda wa kumsikiliza mkeo unaemhudumia kila kitu.
 
Mi nikajua kuna mapya, mbona haya wanaume tushaambiana sana humu ndani!!!!
 
Hivi bado mnakimbizina na kuuridhisha moyo wa mwanamke ili mpate nn? Zaidi ya vifo na maumivu tu
Umeongea kitu kikubwa sana.
Tukiwa jopo hapa tunawezsema hivi ila ukiwa peke yako unaona eeh wacha nione nafanyaje kumridhisha
 
Nakazia sana
 

Uko sahihi na mimi nilichelewa kujua hili.

Mi nilijifanya romantic nikaambulia disrespect, nikaleta usasa, nikaamua kujiondoa, nina amani tele, ila kikubwa ni kutimiza majukumu yako na kuwa na kusudi, na kumpa majukumu mwanamke ayafanye. Onyesha uromantic kwa mwanamke aliyejibidisha kukutii, usitoe attention kirahisi.

Mwanamke asiyekuheshimu hakupendi. Hakuna haja ya kumu-entertain au ukajaribu kuwa romantic ukadhani utaimarisha mahusiano.
 
Ishu iko hivi, sio lazima nifanye mwanamke anavyotaka ili awe na mimi, kwa sababu mapenzi sio mchezo wa usawa, kwenye mapenzi mwenye nguvu/ power/ value zaidi ndio anayeshikilia mahusiano, sasa kama mimi namzidi value mwanamke wangu basi lazima akubali nachotaka bila mimi kuendana na yale anayotaka, hivi kati ya kiongozi na anayeongozwa nani hufuata mawazo ya mwingine?

Mahusiano mengi yanavunjika sababu wanaume tunatoa zaidi ya kile mwanamke anachostahili, it projects weakness, wanawake wanataka value, Value inajionesha pale mwanaume unapojitanguliza wewe kwanza. Usinielewe vibaya, najua mapenzi ni mchezo mpana sana.
 
Kuna uelewa mbaya sana miongoni mwetu

Tofautisha kuwa kichwa cha familia na kumpenda mkeo

Kichwa cha familia ni kuwa kiongozi na mlezi wa familia yako na mwamuzi wa mwisho

Lakini kupenda ni kujali,kuthamini hisia zake na kumpa furaha
No, kumpenda mwanamke ni kumwongoza kwenye njia sahihi kwa kutumia akili ( rational mind) sio kusikiliza hisia zake hata kama zinatengeneza mkanganyiko eti sababu uonekane unajali, haya sio mapenzi ya mwanaume kwa mwanamke.
 
Hivi kitwa nzima mnasumbuka na wanawake wa Nini

Hawa tulipewa tuwatawale baaaas

Usisumbuke mwanaume wewe ni mfalme na neno la mfalme ni Sheria baaaaaas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…