Wanaume huwa mnafikiria hatari zinazoweza kuletwa na mchepuko?

Mume/mke wako wa ndoa ndio mahusiano sahihi na salama, sio rahisi mume wako au mke wako akudhuru hata kama mmetofautiana au kugombana

Kuanzisha mahusiano nje ni gharama, usumbufu, hatari na pia ni kujitafutia mikosi tu isiyo na sababu

Management ya mahusiano ya nje ni ngumu, huwezi kuwaridhisha wapenzi wawili, wakati mwingine utaona mmoja anakukera tu na hata kumjibu msg unaona kero

Bakini njia kuu😎
 
Huwa wanachepuka kwa midomo tu ila in real life ni ngumu tofauti na ME, yeye akchat na mwanamke anataka akapige na show kabisa🤭
 
Kuna mchepuko nimezaa nae mtoto wa kike na mm ninae madume 3 natamani sana nimlete nyumbni kwangu awajue kaka zake
Ila ndio hivyo mchepuko mwenyww ni mke wa mtu

But nimemnunulia plot huko bagamoyo as her feture asset

Na wew ukute hao madume si wako[emoji2364][emoji2364]
 
mada moto sana!
lakini kweli michepuko ni smoking gun..
nikikumbuka mchepuko alivyosababisha mjomba akanywa ngao ya kidonge!
alimfanyia kila kitu ila kosa moja alifanya ni kwamba lazma arudi kulala nyumbani na kuacha mchepuko peke yake...
akitoka kwa mchepuko kurudi kwa mke wake huku mchepuko anaingiza jamaa wake.
siku vimeumana jamaa alishindwa kuvumilia akanywa ngao ya kidonge na kuacha mke na watoto wadogo!
lile jomba langu sijui lilikuwa linapewa nyoro!
daahh inaskitisha sana
 
Ndio maana huwa simwamini mwanamke yeyote zaidi ya mama mzazi
Yaani demu hata awe mwema kiasi gani huwa naamini ipo siku anaweza kuunga mkono juhudi
Yule ukiyekula nae kiapo kanisani au kwa sheikh ni vigumu kukugeuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…