KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Abnormal women..It is more than that Mkuu. Nimeona kesi kama hizo na kuongea na KE husika na kudhibitisha hawana tatizo lolote ndani ya ndoa lakini kama unaweza kuchepuka bila kubambwa why not.
Few wanaofanya kwa hamu tu na sio hisia
In most cases.,women are emotional
For most women u js dont go to bed with a man you dont love...haipoo