Wanaume igeni mfano kutoka kwa Harmonize

Baba'ako nae c mwanaume umemuhuliza alichojifunza????
 
Hata yule mzungu alifunga nae ndoa so tumeshamzoea Mmakonde wetu
 
Unadhani kajala angekuwa hana kiki huyo harmonize angem'gan'gania?
 
Sio issue sana ujue mahusiano mengi sasa hivi yapo kimaslahi zaidi.
Ndio umuambie mtoa mada asiseme tumuige harmonize mwenye mapenzi ya kisanii mtoa mada angekuwa na akili na watu tungemuelewa angesema tuige mapenzi ya Navykenzo wale ndio wanaonekana wapo serious hawapo kwa ajili ya kiki they have real love na ndio maana yamepiga hatua kubwa Sana na wamefanikiwa kimaisha as a couple
 
Sawa, umeeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…