Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Nipo kwenye ndoa na "mbwa" fulani tunayevumiliana!
Sasa Upo kwenye Ndoa Makasiriko na povu lote hili la Nini? Au unatudanganya, basi kama ni ukweli itakua huyo Jamaa yetu ana shida sana!!!
NB: Kingine Ukitunza hiyo K yako hakuna mwanaume atakae kuja kukubaka na kukuharibu ila ukitanguliza tamaa mwisho wake ndo hivyo utatumika then utatemwa Bado ya hapo utaitwa Malaya. So acha kulalamikia wanaume jilalamikie wewe mwenyewe unaye toa
 
Chunguza tena, kama ni mstarabu sana huenda ana id nyingine anayojiachia nayo humu.
Mimi ndio mliki wa simu yke na Id yke,so mpka nimeandika nijidhirsha na mengi juu yke Sina mashaka naye kwa lolote
 
Mwanamke saivi Hana Thamani, kabisa sabab ni wanawake hao hao ndo wamejishusha Thamani yao kwa kutangliza tamaa mbele!! Sasa hapo kwanini wanaume wasiwatumie wanavyo taka.
Kifupi wote me na ke thamani imeshuka, ngono imekuwa kipaumbele chetu.
Na nyie wanaume mmejivua uanaume wenu baadhi yenu, mmeamua kugeuzwa kwa tamaa hizo hizo za fedha.
 
Kwa hiyo kisa nimeolewa sijui kinachoendelea duniani? Au unafikiri kwa kua nimeolewa sipati heka heka zinazosababishwa na wanaume
 
Uzuri tu tunategemeana, yaani Me bila Ke and vice versa haiwezekani, au kihisia, kimwili na kivyovyote...hii vita haina mwisho. Manake sasa bila Ke nitaishije mimi, puchu siwezi tena, kupika nishasahau, kufua mara moja sana. Someone wa kutaniana, kutoka out, kukasirikiana nk...
 
Hii imeenda
 
Haya mabaharia kujeni huku kumekucha hebu mwenye kujitetea alianzishe maana mimi ninapita tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…