Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 949
- 2,038
Sasa Upo kwenye Ndoa Makasiriko na povu lote hili la Nini? Au unatudanganya, basi kama ni ukweli itakua huyo Jamaa yetu ana shida sana!!!Nipo kwenye ndoa na "mbwa" fulani tunayevumiliana!
NB: Kingine Ukitunza hiyo K yako hakuna mwanaume atakae kuja kukubaka na kukuharibu ila ukitanguliza tamaa mwisho wake ndo hivyo utatumika then utatemwa Bado ya hapo utaitwa Malaya. So acha kulalamikia wanaume jilalamikie wewe mwenyewe unaye toa