Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Tukiwapa mnatutangaza kwa Riki boy wakati show tumepiga wote...na pengine hata sikuridhika ila ukienda huko kwenye uzi kila mtu anajisifia ujuziπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Mara nyingi nyie ndio mnafurahia zaidi ya Me, yaani unenda Lodge huwazi lolote, kila kitu Me ndio ana cover, na mwisho akuridhishe, halafu akupe asante!🀣🀣🀣
 
Nakubali ila Kuna mwingine anakusahawish umpende ila apate kukuumiza kunawakati huenda ukampenda mtu sana tu kumbe mwenzio anakuona sio mtu wa maana na Wala hakufikirii

Nawanaume wanaandika sana hapa kupendwa nawanawake wao lkn wao hawakuwapenda hao wadada ndio wahanga na Wala sio makosa Yao
Tukubali Kuishi maishayetu mapenz hatukuumbiwa sisi wanawake πŸ˜€
 
Kwahiyo mnataka sisi ndyo tuwe tunalipa lodge jamani 🀣
Aaah yani swala moja tu la kuridhika likushinde kweli Missy? Mengine yote Me anamalizana nayo, hilo la kujifikisha kibo linakushindaje sasa....Bills ni kazi ya Me, basi na wewe saidia kufika juu🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…