Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Tukiwapa mnatutangaza kwa Riki boy wakati show tumepiga wote...na pengine hata sikuridhika ila ukienda huko kwenye uzi kila mtu anajisifia ujuzi😆😆😆
Mara nyingi nyie ndio mnafurahia zaidi ya Me, yaani unenda Lodge huwazi lolote, kila kitu Me ndio ana cover, na mwisho akuridhishe, halafu akupe asante!🤣🤣🤣
 
Ukiwa hivyo utakosa mwanaume wa kukuoa hivi nikuulize kila mwanaume ambaye unahisia nae unazani nae anahisia na wewe?kwenye huu ulimwengu ni ngumu kumpata mwanaume wa ndoto zako utastruggle sana wewe unafikiri wote walioolewa wameolewa na wanaume wanaowapenda? Nature inataka mwanamke ajifunze kupenda kulingana na matendo ya mwanaume anayokutendea
Nakubali ila Kuna mwingine anakusahawish umpende ila apate kukuumiza kunawakati huenda ukampenda mtu sana tu kumbe mwenzio anakuona sio mtu wa maana na Wala hakufikirii

Nawanaume wanaandika sana hapa kupendwa nawanawake wao lkn wao hawakuwapenda hao wadada ndio wahanga na Wala sio makosa Yao
Tukubali Kuishi maishayetu mapenz hatukuumbiwa sisi wanawake 😀
 
Back
Top Bottom