Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Dear nikwambie kitu simu yangu imevunjika na huyuu baba mwenye nyumba anasumbua, ile gas mbona hujatuma boda boda ailete, akileta apitie nyama vitu vya kupika vimeisha na hii ni sms ya mwishoo maana kifurushi kinaisha mda si mrefu na sina vocha.

mkuu kwema lakini mbona umepanik hivyoo kwani situlikubaliana kwamba wanaume wote sisi ni mbwa. inakuaje unalalamika tena mkiguswa kidogo.
Huduma lazima mhudumie
 
Michango yenu humu wanawake ni watu wabayaa sana!

Yaani ni wachepukaji, malaya, wapenda hela n.k.

Hivi tukichepuka huwa tunachepuka na mbwa au nyie wanaume mso na maadili?

Tukiuza chini huwa tunawauzia beberu au nyie nyie tamaa ya fisi?

Kazi yenu kujisasibu jinsi mlivyotembea na wanawake dazeni, jinsi mnavyojua kununua malaya, jinsi mnavyojua kula kimasihara....

Mkimaliza raha zenu mnaanza kutopondea umalaya!! Swaini nyie.

Msiwafanye wanawake objects.

Povu ruksa.
Relax elezea kwa vituo shida nini
 
Kumekuchaaaa!!! Wameamka kujibu mapigo sasa[emoji23][emoji23][emoji23]bado hawajasema
 
Back
Top Bottom