Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Achana nao washamba hao,humu Kuna. Wanaume wanajiheshi na wanaakili timamu wakwanza mme wangu,yupo humu na nilimpata humu na sijawah kuona upuuz wowote amechangia na ananiheshimu,sijutii kumfahamu.So hao wanna ropokaga ni vilaza tu na wengi hawana hela,wenye hela hawana mda wa kuandiaka ujinga.
Asante
 
Hakuna kiumbe kibaya, kibinafsi na katili sana kama wanawake, kama umeamua kuuza fahamu wapo wanaouza direct na wengine wanatuuzia indirect.

Uzeni tuu tutawanunua kwa bei che sana na hatutoacha kuwanyoosha.

Nb. Ni bora ukauza indirect kuliko kuuza direct.
 
Back
Top Bottom