Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Hawa wanaolia kuombwa afu tatu ndo wawe na nguvu ya kupiga vi8?!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wakijitahidi viwili tena sio vya kuunganisha na alkasusu imehusika hivi hivi hatoboi
🀣🀣🀣🀣🀣hivi kwani muhimu ni idadi au satisfaction, ni lazima viwe vingi mkuu? Manake hapa nitafeli pakubwa🀣🀣
 
Nmefika nimejaa Tele nisogezee mkinga wangu hapa nimpe mahaba kama yote πŸ₯°
Subiri unogewe wewe km hujaanza kuacha kuomba pesa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kaka zangu wanajua kuchachua mpk wanagombewa si umemuona sugu Faiza kila siku anakumbuka show yake πŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈ
 
Hv sugu ni mkinga....halafu me napendaga watu kama kina sugu yaani Ana ubaba na ugentleman humohumo...taita kama taita
 
Tawileee, Cha ajabu mashoga watu wa zuri kwao, Ila sisi tuliowazaa wabaya Kama hawajazaliwa na mwanamke., Mara kataa ndoa, lakini mzigo wanataka, hapo chacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…