Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Hawa wanaolia kuombwa afu tatu ndo wawe na nguvu ya kupiga vi8?!! 😂😂😂😂
Wakijitahidi viwili tena sio vya kuunganisha na alkasusu imehusika hivi hivi hatoboi
🤣🤣🤣🤣🤣hivi kwani muhimu ni idadi au satisfaction, ni lazima viwe vingi mkuu? Manake hapa nitafeli pakubwa🤣🤣
 
Subiri unogewe wewe km hujaanza kuacha kuomba pesa 😂😂😂😂
Kaka zangu wanajua kuchachua mpk wanagombewa si umemuona sugu Faiza kila siku anakumbuka show yake 🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️
Hv sugu ni mkinga....halafu me napendaga watu kama kina sugu yaani Ana ubaba na ugentleman humohumo...taita kama taita
 
Michango yenu humu wanawake ni watu wabayaa sana!

Yaani ni wachepukaji, malaya, wapenda hela n.k.

Hivi tukichepuka huwa tunachepuka na mbwa au nyie wanaume mso na maadili?

Tukiuza chini huwa tunawauzia beberu au nyie nyie tamaa ya fisi?

Kazi yenu kujisasibu jinsi mlivyotembea na wanawake dazeni, jinsi mnavyojua kununua malaya, jinsi mnavyojua kula kimasihara....

Mkimaliza raha zenu mnaanza kutopondea umalaya!! Swaini nyie.

Msiwafanye wanawake objects.

Povu ruksa.
Tawileee, Cha ajabu mashoga watu wa zuri kwao, Ila sisi tuliowazaa wabaya Kama hawajazaliwa na mwanamke., Mara kataa ndoa, lakini mzigo wanataka, hapo chacha.
 
Back
Top Bottom