Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Hapana🤣
Umenielewa vibaya
Awali si nilikuambua niko kwa shemeji nimehifadhiwa tu sababu sina dira,kwa shemeji utapaitaje "ghetto"?🤣 heshimu nyumba ya shemeji rafiki,ujue ndio napata tonge kujaza tumbo hapa
Uongo 🤣🤣🤣
Emu acha kutubania hizo afu tatu 🤸‍♀️🤸‍♀️
 
Mmmh, nikadhani wewe ndio umemwambia...ila huna baya na mimi, ninyooshee njia basi🤣
🤣🤣🤣 ko me ndio mama mapdf humu??
Ila ERon ntakuchapa 😂😂😂

Huyo mtoto kitendo cha kuniambia tayari ushampata, pesa ipo lakini mzee wa loose balls!!? Mtoto hataki shida huyo🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣 ko me ndio mama mapdf humu??
Ila ERon ntakuchapa 😂😂😂

Huyo mtoto kitendo cha kuniambia tayari ushampata, pesa ipo lakini mzee wa loose balls!!? Mtoto hataki shida huyo🤣🤣🤣
Hii sio loose ball, hii ni kazi ya uhakika mkuu🤣🤣🤣 fanya basi nitembee mkoani, nina mda sana..japo nahisi ananidanganya huyu, atakuwa mitaa ya Kimara au Tegeta🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣 ko me ndio mama mapdf humu??
Ila ERon ntakuchapa 😂😂😂

Huyo mtoto kitendo cha kuniambia tayari ushampata, pesa ipo lakini mzee wa loose balls!!? Mtoto hataki shida huyo🤣🤣🤣
Kumekucha kumekuchaaaaaaaaa.....bff huyu ataweza kununua rozali ya gold kweli
 
Hii sio loose ball, hii ni kazi ya uhakika mkuu🤣🤣🤣 fanya basi nitembee mkoani, nina mda sana..japo nahisi ananidanganya huyu, atakuwa mitaa ya Kimara au Tegeta🤣🤣🤣
Kwann umewaza mkoani why not nje ya Africa acha zarau ntakuchapaaaa
 
Kijiwe gani hicho Anna? Ule uzi wa picha kule chit chat?

Nini kimetokea kwani?
Huohuo Mkuu
Uzi ulifungwa.

Kwanza walianza kufuta comments,tukala ban bila sababu
Mwishowe ukafungwa kabisa .

Yaani mambo ni mengi,sijui hata nianzie wapi kuhadithia.
Kiufupi kulikuwa na vita kali kama ya Russia na Ukraine[emoji1787].
 
Hii sio loose ball, hii ni kazi ya uhakika mkuu🤣🤣🤣 fanya basi nitembee mkoani, nina mda sana..japo nahisi ananidanganya huyu, atakuwa mitaa ya Kimara au Tegeta🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 wewe mkoani usije tuma tickets za Twiga na ya mpambe nikuletee mpenzi wa ndoto zako!! Na me niko mkoani 😜
 
Back
Top Bottom