Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

🤣🤣🤣 wewe mkoani usije tuma tickets za Twiga na ya mpambe nikuletee mpenzi wa ndoto zako!! Na me niko mkoani 😜
Kasema yupo nje ya Africa bwana, tickets za Uswisi naziwezaje mimi🤣
 
Nakubaliana nawe.
Humu wanaume hujiona saints! Wakijisahau tu utasikia nilimla mke wa rafiki yangu! Baadae rafiki zake wataanza ....

Mara nipo dodoma na mtoto mkali! Mke wake wa dar akitongozwa tu mnanunua mkaa gunia mbili.

Balance inahitajika
Ndio wanaume sisi ni saints tumeumbwa kwa mfano wake Mungu,tofatuti na nyie mlitoka ubavuni.
 
Back
Top Bottom