Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Hiyo shida yake! Wakati mnatunyemelea tukiwa skuli kuzitoa hizo bikra mlipanga kutuoa?

Hivi thinking ya wanaume ikoje? Yaani unamtoa mtu bikra na hutaki kumwoa!!

Halafu siku unaoa natakaaa bikraa! Bikra si mlishazitoa?
Mwenye maamuzi ya mwisho ya kugegedwa ni nani?

Ni mwanaume au mwanamke?

Kama hutaki uitwe malaya, Kwa nini ukubali kutoa hiyo Mbususu kwa wanaume hovyo hovyo?
 
Wapumbavuuu
Lijitu linanunua Malaya likishakojoa linaleta thread wanawake wote ma.laya[emoji1787][emoji1787]
Tabia za mbwa dume huwa ni mchafu kwa asili
Yako radhi yakomalie jike moja afu yakishakojoa ndo akili zinarud
Kama mwanamke hataki kuitwa Malaya, kwa nini akubali kusex na kila mwanaume anaye mtongoza?

Mwenye maamuzi ya mwisho ya kutoa Mbususu ni mwanamke

Wanawake wote mngekuwa mna misimamo ya kuto ku gawagawa hovyo hivo vitumbua vyenu kwa kila mwanaume anaye watongoza, Mngeitwa Malaya?

Mbona mabibi wa zamani walijitahidi kujiheshimu, ila vibinti vya leo hii vinagawa hadi kwa buku jero....!!!
 
Michango yenu humu wanawake ni watu wabayaa sana!

Yaani ni wachepukaji, malaya, wapenda hela n.k.

Hivi tukichepuka huwa tunachepuka na mbwa au nyie wanaume mso na maadili?

Tukiuza chini huwa tunawauzia beberu au nyie nyie tamaa ya fisi?

Kazi yenu kujisasibu jinsi mlivyotembea na wanawake dazeni, jinsi mnavyojua kununua malaya, jinsi mnavyojua kula kimasihara....

Mkimaliza raha zenu mnaanza kutopondea umalaya!! Swaini nyie.

Msiwafanye wanawake objects.

Povu ruksa.
Daah kashaliwa mtu kwa mkopo
 
Baambie hao
 
Tukiwapa mnatutangaza kwa Riki boy wakati show tumepiga wote...na pengine hata sikuridhika ila ukienda huko kwenye uzi kila mtu anajisifia ujuzi[emoji38][emoji38][emoji38]
Naona uzi wa Riki boy umeleta sintofahamu kutoka upande wa pili.Hala hala mods msije kutufungia uzi wetu pendwa!
 
Back
Top Bottom