Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Mwanamke uliumbwa kwa ajili ya mwanaume ukilijua hilo basi hata hizo harakati zetu za kujifanya haki sawa mtaziacha maramoja
 

Magdalena Joseph
Kuna wanaume halafu kuna ile gender iko katikati ya Me na Ke. Ndio ile gender inayonunua wanawake kisha wanakuja kuwasema hadharani na ndio hiyohiyo gender inayoongoza kwa kufanya ufirauni na kuwasema mafirauni, Hiyo gender ya mchongo ndio ina hizo shida zote hizo

Ila ijulikane wazi kwamba ukilala na Malaya tayari Wewe ni Malaya kwani katika kulalana mmekua mwili mmoja
 
Ila mwanamke mpaka ampate mwanamume serious wa kumuoa daah! Lazima achezee de libolo za kutosha.

Shida wana hatuweki ndani mpaka tuonje na wengine kama wanamaanisha vile kumbe ni kupita tu ile shwaaa shwaaa nduki
YaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, kwakweli tunatakiwa kucheza kwa step na kwa umakini sana πŸ˜…πŸ˜…
 
YaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, kwakweli tunatakiwa kucheza kwa step na kwa umakini sana πŸ˜…πŸ˜…
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mimi kuna mmoja baada ya kumla mara 2 tu tena kwa tabu akasema kama nipo serious niende kwa wazazi wake nikajitambulishe na yeye nikamtambulishe kwa wazazi wangu. Tukajikuta tumeachana kimyakimya
 
Feminist katika ubora wake
 
Thank you. Ndo hao "huwalazimisha" wanawake kufanya uchafu wa kila aina halafu lawama kwa mwanamke tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…