Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Achana nao washamba hao,humu Kuna. Wanaume wanajiheshi na wanaakili timamu wakwanza mme wangu,yupo humu na nilimpata humu na sijawah kuona upuuz wowote amechangia na ananiheshimu,sijutii kumfahamu.So hao wanna ropokaga ni vilaza tu na wengi hawana hela,wenye hela hawana mda wa kuandiaka ujinga.
Chunguza tena, kama ni mstarabu sana huenda ana id nyingine anayojiachia nayo humu.
 
Tatizo linaanzia kwetu wenyewe kwann ukubali kutumika hovyo??
Hivi wanawake tugome kuwapa wanaume hovyo hizo guts za kutusema MALAYA watazitolea wapi??
Tatizo baadhi yetu tuko cheap na vitamaa vya kingese ndiomana tunadhalilishwa. Mara tunagongwa kwa sate sauzandi, mara 3k
Inasikitisha sana na tatizo ndio limeshajikita mizizi inabidi kuishi tu umo umo. Uchi wa mwanamke umeshuka sana thamani.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Namsanua hawana jema, mnachat vizuri anakutumia pesa kwa nyege zake mwenyewe!!
Akiomba papuchi ukikataa tayari mbio jukwaani kujaza server za Mello na malalamiko yake ya afu tatu [emoji23][emoji23][emoji23]
Una maneno mazito

Hayafai kuonekana kwenye mboni za macho yangu🤣🙌.

Nyuzi za namna hii sifungui nikikukuta🤣
Good night.
 
Michango yenu humu wanawake ni watu wabayaa sana!

Yaani ni wachepukaji, malaya, wapenda hela n.k.

Hivi tukichepuka huwa tunachepuka na mbwa au nyie wanaume mso na maadili?

Tukiuza chini huwa tunawauzia beberu au nyie nyie tamaa ya fisi?

Kazi yenu kujisasibu jinsi mlivyotembea na wanawake dazeni, jinsi mnavyojua kununua malaya, jinsi mnavyojua kula kimasihara....

Mkimaliza raha zenu mnaanza kutopondea umalaya!! Swaini nyie.

Msiwafanye wanawake objects.

Povu ruksa.
mhn! mvua inakoroma........ lakini haina meno! mpaka inatokea unafananishwa na object halitokei hivihivi; elewa kuwa kule unakofungia mzigo wa kuni sisi ndo tunakojisaidia hivyo hiyo miti unayochukua kuni zake zimestawishwa na kinyesi chetu!
 
Back
Top Bottom