Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Sisi wakulima tutaliwa na wakulima wenzetu
Mnamalizana kwenye mashamba ya mipunga na mahindi, manake nasikia huwa hata guests ni shida🀣🀣 sema siku ukihamia jiji la chalamila utafute version ya jf, achana na walamba lips.
 
Michango yenu humu wanawake ni watu wabayaa sana!

Yaani ni wachepukaji, malaya, wapenda hela n.k.

Hivi tukichepuka huwa tunachepuka na mbwa au nyie wanaume mso na maadili?

Tukiuza chini huwa tunawauzia beberu au nyie nyie tamaa ya fisi?

Kazi yenu kujisasibu jinsi mlivyotembea na wanawake dazeni, jinsi mnavyojua kununua malaya, jinsi mnavyojua kula kimasihara....

Mkimaliza raha zenu mnaanza kutopondea umalaya!! Swaini nyie.

Msiwafanye wanawake objects.

Povu ruksa.
Mnawadownload sana wanaume, kwasasa download fail hahaa mb zimewaishia.(no money for play boys)
 
Mnamalizana kwenye mashamba ya mipunga na mahindi, manake nasikia huwa hata guests ni shida🀣🀣 sema siku ukihamia jiji la chalamila utafute version ya jf, achana na walamba lips.
Nimeshatoka huko hakuna maajabu Sema nikutumie ticket uje kushangaashangaa huku nilipo
 
Kumbe unapita sana kule, dondoo zote unazo.🀣
Wakiyaleta lazima tuyasome hata hapa jamaa anaweza kuja kuanza kulalamika 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Back
Top Bottom