Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Na mkigoma kusimama, najitupa๐๐Kwakweli ๐๐
Kwanini ujiumize na mlango upo๐๐คNa mkigoma kusimama, najitupa๐๐
Uko wapi??Kwanini ujiumize na mlango upo๐๐ค
Vip hauzi boxer ninunie?Kwanini ujiumize na mlango upo๐๐ค
zipo nyingi sana,, wewe tu sema unataka za aina gani๐คVip hauzi boxer ninunie?
Ngoja nikustulie konda๐Uko wapi??
NAKAZIA.!naanza kupata wasiwasi na jinsia yako pengine ni san lg
Sijaelewa kizunguStop asking me questions
Calvin clein mkuuzipo nyingi sana,, wewe tu sema unataka za aina gani๐ค
Yaani ulivyo na sura nzito Kama chapati iliyo kosa mafuta๐๐Anza na huyu Intelligent businessman hana boxer anagongea kwa washikaji
Huyu ni Ladies and gentlemenNilitaka niulize wewe ni Me au ke,, ila basi nimeghairi๐๐
Hapo kwenye kubadilisha nguo hata ukioga Mara tano nao huo ni ukosefu wa matumizi sahihi ya pesa na kufanya kazi!Unakuta mwanaume nguo ya ndani hajafua Wala kuivua mwezi mzima na joto hili la Dar, huwa najiuliza sana hivi kweli umetoka bafuni kuoga utarudia kuvaa boxer hiyo hiyo?
Boxer imekuwa nyeusi tii ngumu kweli kweli ukiiweka chini inasimama ni inanuka uvundo mtupuuu hadi kero mnakeraaaa. Unawezaje kuvaa boxer mwezi mzima tena wengine wanapiga nusu muhula (miezi Sita) hajawahi kufua Wala kubadilisha boxer
MIMI binafsi kila nikitoka bafuni kuoga huwa navaa nguo zingine zilizofuliwa au Mpya (boxer, shat, vest na suruali au pensi) hata kama nikaoga Kwa kutwa Mara tano
Wanaume badilikeni mnakera, kuwa mchafu sio sifa ndio maana wake zenu tunawatafuna huku maana wanafata usafi, mvuto ni usafi Raba Kali, pamba za kutosha, manukato na mavitu yakukuvutia kibao yani unakuwa comfortable afu uko huru na una makonfidensi kama yote yani
Kichwa kikubwa na huo mwili mwembamba kama mwenge ,kiuno kidogo kama tochi ya mabetri,kichwa kikubwa kama tenki la kijijiYaani ulivyo na sura nzito Kama chapati iliyo kosa mafuta๐๐
Usijali,, nimekutumia location uje๐Calvin clein mkuu