Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Swali lenyewe ni hili, kama huyo mdada unae-date naye angekuepo kwenye nafasi ya kutoa msaada uliyo nayo wewe, huyo mdada angekupa huo msaada?
Mfano umempa mwanamke unae-date naye smartphone ya laki 3, je yeye angekuwa na uwezo na pesa za kutosha, hlf ninyi ni wapenzi, huyo mdada angekununulia wewe smartphone ya laki 3?
Mfano umempa mwanamke gari aina ya vanguard anaendesha, je huyo mwanamke angekuwa na hela ya kununua vanguard 10 angekununulia wewe Hata vanguard moja uendeshe? Mngekutana nae barabarani anaendesha gari wewe mwanaume unatembea kwa miguu, je ange-notice kuwa amepishana na mwanaume, achilia mbali kukununulia gari?
Ukichunguza kwa kutumia logic utagundua kwenye mahusiano 78% ya wanaume tumepigwa..
NB: Kwa asilimia kubwa ndugu wa kike eg mama, shangazi, dada, mama wadogo, binamu, wako very supportive kwenye maisha ya mwanaume, kuliko wapenzi wa kike K.v girlfriends, michepuko na wake sijui kwanini