fredysumuni
Member
- Jun 12, 2019
- 33
- 35
Never date a broke girl bro hasa kama na wewe unatoka choka mbayaHuwa sipendi sana kuanzisha uzi ili kuepuka kureveal my ideentity sababu kuna vitu vingine naviandika ni real ila asilimia 70 huwa naandika uwongo hasa auzo wa kula tunda kimasihara. Ila hii ya leo ni stori ya kweli.
Wakuu mm nadate na mschana mdogo. Na nina bahati mbaya sijui nature ya kazi zangu ninakutanaa na vischana vilivyomaliza secondari hasa olevel ss wapenzi wangu wote huwa ni aga ya 18 hadi 24 sijawahi date na mtu mzima
Huyu nliye naye nlianza kudate naye akiwa na 17 yrs sasa ana 18.
Sida huyu mschana ni pasua kicha ila nampenda saana na yy ananipenda sana, why? Nlijaribu kufeki kufulia kama miezi 4 mfululizo sikuwahi kumpa hela ila ngozi naomba napewa vizuri tu tena mda mwingine anarisk kutoroka kwao kuja kulala kwangu.
Ss huyu dem ameenda kusoma chuo mkoa flan and nalipa kila kitu sababu kwao choka mbaya hata mlo mmoja tu shida. Mama mtu anaujua mchongo mzima and dtunawasiliana sana tu. Dem akija likizo huwa anafikia kwangu two weeks na two weeks kwao.
Ss shida inakuja tunagombana sana yaan sana ila ss tukigomban naapa kumtelekeza but akilia shida tu huruma inakuja naachia mtonyo.
Hisia zangu zinanituma ana mvulana chuo sababu movement zake ssizielewi kabisa. Mfano. Naweza kupiga simu asipokee, ama naweza kumwandikia sms asijibu ila simu anapokea
Maongezi yetu pia huwa siyaelewi kuna mds yupo romantic kuna mda anaongea na ww kisela sana.
Akija likizo simu inakuwa cilent ile total cilent ana disable notification zote, simu ikiita hata km unayo hauwezijua utakuta micd calls tu.
Anatumia whatsap gb mm pia naitumia tunaotumia hii kitu ni nomer tunaijua unawezaficha chats picha na vitu kibao mtu ukampa simu akae nayo hata mwezi haweziona kutu. Ss nikainyaka moja akagoma kutoa fingerprint tuligombana sana kama wiki tupo2 tu room anashinda bila nguo mzigo nakula ila tumenuniana.
Leo kanivuruga sijalala usiku wote msegene yy kalala fresh tu. Nikiwithdraw walah anarudi nyumbaniaana wazazi wake hawana ishu kabisa hata mda flan mm huwa nalisha familia kupitia binti yao. Ila nddo walizaa pis kali. Nawaza kukata mrija wa huduma maana naonekanaa zwazwa sasa.