Kumgundua mwanamke ambaye yupo na mimi kwa ajili ya pesa ni rahisi sana, labda mwanaume ujitoe ufahamu, ntawatambua kwa matunda yao Yesu alisema mti mwovu hauwezi zaa matunda mema, na mti mwema hauwezi zaa matunda mabaya, mdada hawezi akawa na mm kwa ajili ya pesa halafu akanionesha tabia njema za kupendeza from the beginning, that's impossible kwa mwanamke.
1)Mfano, kumtongoza mdada leo, kesho anaomba hela hiyo ni redflag.
2)Unaanza mazoea na binti, haijafahamiana vizuri, ndo mko mwanzo wa urafiki halafu anakuuliza unafanya kazi gani that's redflag.
3)Mwanzoni alikuwa ananichukulia Kawaida, baada ya kusikia nimenunua gari, nimepata kazi nono, mpunga mrefu, anaanza kunishobokea that's redflag
4) Nina kitambi na ni mzee nina kipensheni halafu binti mdogo ananishobokea thats redflag
5) Full makeup, Mikucha hiyo, kutwa kukesha instagram na TikTok, anafanya ubaamedi, slayqueen wa kukesha club, that's redflag
Lovelovie