Wanaume kabla ya kumhonga mdada pesa/kumhudumia, tujiulize hili swali moja tu

Being nice to a girl is not simping

Giving everything she wants, But not receiving anything in return
That is definition of simping.

Always look for an equal value Exchange
 
Kwa kigezo chako aslimia 98 sio 78 tumepigwa
 
Being nice to a girl is not simping

Giving everything she wants, But not receiving anything in return
That is definition of simping.

Always look for an equal value Exchange
🀣🀣🀣nondo
 
Wengi wenu Nyie wadada sio supportive kwa boyfriends wenu, hata wewe unajua ukweli, mdada hata kukuchemshia chai hawezi, kila siku mwanaume ndio uweke effort ya kuendeleza relationship Amehlo
Upo sawa kabisa, mwanaume asipoweka efforts hakuna ndoa wala mahusiano hapo
 
Wewe tueleze hyo logic unayotumia
Aliewadanganya kwamba ke ameumbwa kutoka kwa me aliwaweza kweli kweli. Mana kawafanya watu mmekuwa watumwa wa wanawake!

Yaan kawa brainwash totally hamuwez hata kuamua kwa kutumia logic.
 
Ilimradi uteleziiiii anatoa sina haja ya kujiuliza yote hayo- na tena akiwa nao mwingiiiiiiiii basi ndiyo mtaji wake Sasa. 😁😁😁
 
Wengine wana honga kwa mabasha wachokolewee, wengine wanahonga kwa wanawake wadukuliwe nyuma na dildo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dunia pana hii
 
Wengine wana honga kwa mabasha wachokolewee, wengine wanahonga kwa wanawake wadukuliwe nyuma na dildo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dunia pana hii
Kweli dunia pana maniner
 
Mkuu,
Usitake kutafuta usawa kwny mambo ya fedha linapokuja suala la mahusiano yako na mwanamke. Itakuletea shida.

Unachotakiw kufanya Ni kutekeleza wajibu wako uliumbiwa Kama mwanaume kua utakula kwa jasho. Maana ake utamhudumia

Naye ikifika nafas yake atatekeleza wajibu wake kama mwanamke kua atakutii na mkifika mbele anaweza kukuzalia kwa uchungu.

Ukitafuta kuendana kinyume na sheria za uumbaji, Basi mahusiano yatakutesa Sana maana utaandamwa na laana ya kukiuka maagizo ya aliyekuumba.

Unacho mpatie, huna kausha
 
Wengine wana honga kwa mabasha wachokolewee, wengine wanahonga kwa wanawake wadukuliwe nyuma na dildo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dunia pana hii
Una mambo wewe mtoto wa nyanda za juu kusini πŸ˜…
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hata sijui nacheka nini ila tuendelee......
 
Toa bila matarajio.
Matarajio huumiza.
 
Wanaume bhana.

Haujajua hadi leo kuvuja jasho kwetu kooote ni ili kijiongezea uwezo wa kutoa.
Kutoa/giving out ndio point yenyewe iliyopo sasa. Kujikusanyia sio mpango kihiiivyo. Tena unapotoa kwa aliye mdogo zaid yako kiuwezo asiyeweza kukulipa ndo inakuwa raha zaidi.!

Na usilalame maana itabakia kuwa kweli kwamba; ni heri zaidi kutoa kuliko kupokeaa
 
Huu ni mutego.
Huu ni mutego.
Wanawake tushtuke wanaume marioo wako wengi sana.
 
Hii aina ya wanaume ndio wale wanataka nusu nusu na wanawake, mwisho wa siku wanaishia kupasuliwa pia...huwezi kumuhudumia mwanamke kaa kando
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…