Wanaume kabla ya kumhonga mdada pesa/kumhudumia, tujiulize hili swali moja tu

Never date a broke girl bro hasa kama na wewe unatoka choka mbaya
 
Mfano umempa mwanamke unae-date naye smartphone ya laki 3, je yeye angekuwa na uwezo na pesa za kutosha, hlf ninyi ni wapenzi, huyo mdada angekununulia wewe smartphone ya laki 3?
Laki tatu tu inakusumbua hivyo? Oa basi usihonge honge tu, akikusaidia itakuwa kwa manufaa.
 
Muonekano wa mwanaume haujawahi kuwa kivutio kwa mwanamke,, binafsi sijawahi kabisa kutizama muonekano wa mwanaume, sasa wewe unataka uvutie ili iwe nini, hivi kushusha utelezi unadhani rahisi eeeh kawaulize mashoga km wanao
 
Wanaume tunakula kwa jasho na damu get that in your head brazia
Acha ufala jipende, jijari lionee huruma jasho lako kula kwa hasho ni kuhudumia Jamii ikiwamo watu wasio jiweza eg wazee watoto wasio na wazazi na sio kufulahisha wanawake
 
Wengi wenu Nyie wadada sio supportive kwa boyfriends wenu, hata wewe unajua ukweli, mdada hata kukuchemshia chai hawezi, kila siku mwanaume ndio uweke effort ya kuendeleza relationship Amehlo
Haya mambo ya one sided efforts ndo siwezi penz ni letu sote basi kwa pamoja tuwajibike.
 
Wanaume mmeanza kudai haki sawa?...basi samaleko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…