Wanaume kama umeoa hii inakuhusu

Wewe yote hayo umeyajuaje?
 
You're such a gentleman, husband material, umefikiria vizuri
 
Kwahiyo Umeolewa na Malaya?
 
Kuna wanaume hawacheat ila wao wanasalitiwa na wake zao. So hizi accusations hazina maana.
 
Yamekukuta leo
 
Nauchukia umalaya, naichukia zinaa...

Kupitia hayo najiweka kwenye hatari ya magonjwa, hatari ya kuendelea kuwa maskini, hatari ya maswala ya kiroho.

Pamoja na yote hayo bado nashindwa kuacha zinaa (umalaya)...

eh Mwenyezi Mungu nisaidie, na unisamehe.
 
Nisikilize mimi sex hapa duniani inaongozwa na vitu viwili
1.Asili ya mnyama
2. Sheria za kidunia

1. ASILI YA MNYAMA

Mnyama wa kiume popote unapomuona anatembea anahisia za kimapenzi na anapenda mnyama wa kike atakayempendezesha macho yake.

mnyama wa kiume kila sekunde unayoijua hapa duniani akikurupushwa njoo tufanye sex yupo tayari tofauti na mnyama wa kike yeyote hapa duniani unayemjua yeye huwa anavipindi ambavyo atakuwa na hisia za sex ni kipindi tu cha yeye kupata mimba hata binadamu ilitakiwa mwanamke ukutane na mwanaume kipindi cha kutungisha mimba tu baada ya hapo utulie mpaka unajifungua na kukuza mtoto,,,ndo mana mwanamke akiwa na mimba haingii tena kwenye siku zake,,,mwanamke tendo la sex kwake ni kazi, ni ajira huwa haendeshwi na msukumo wa ndani au hisia za ndani ukilinganishwa na mwanaume,,,ndo mana mwanamke lile tendo bila malipo hawezi kurifanya kirahisi hata kama ameolewa huona kama anasumbuliwa na kuanza kupanga siku za kufanya kutokana na kwamba hana hisia za mapenzi,,,kinachomsukumaga mwanamke ni baada ya yeye kupigwa mashine kwa kujirudiarudia na hiki kitendo kinamkaa kichwani,,anaanza kukumbuka kitendo kufanyiwa ila sio kwamba anahisia za sex,,,mwanaume anahisia toka mwilini na unataka kila muda,, akioa mwanamke ambaye anampa anapojisikia yeye hii ni kumtesa mwanaume au unampa alafu mwanaume hajaridhika unasema basi inatosha ingali bado mnara unasoma mwanaume atakushusha thamani sana.

Sasa kwanini anacheat ipo hivi mwanaume ana mke nyumbani lakini mke wake amempangia siku za kufanya au hata kama hajapanga saa nyingine mwanaume akiomba gemu anaweza asipate na hapa mwanaume huwa tunajisemea tu moyoni nilioa wanini?

Wanaume pia tumegundua kwamba mwanamke ukimwambia nakupa kitu inaweza ikawa fedha au chochote cha thamani atakupa utelezi mpaka mwenyewe ushibe ila sio kwamba anapenda kufanya ivo nooo... hapo anawaza kukuridhisha wewe ili apate kile kitu umemuahidi hata kama atakuwa anaumia huko chin atajikaza kisabuni had mwanaume uridhike

Ndo mana mchepuko huonekana anamapenzi ya dhati kumbe taget zake ni apate chochote kitu umlipie kodi , sijui matumizi.

Nikuulize wewe mwenyewe ungekuwa wewe ungechagua kwa mke anayekupimia bando, anakusemanga, saa nyingine umelala nae unaomba anakunyima au kwa mchepuko ambaye unagharimia ndio, lakini anakupa penzi mpaka anasaza?

Hata nyie wake za watu tunawajua mkiahidiwa kitu mkichepuka mnajiachia kama sio wale mnawasumbuaga waume zenu wakiwaomba na kuwapimia bando na usiombe akutane na vijana hawa wanao teleza kutoka kunduchi juu huku wakielekea kuchota maji kisimani new in town

2. SHERIA ZA KIDUNIA

Ukioa kuwa naye mmoja tu,,,swali sheria na hisia kipi kinanguvu? Hisia zinanguvu kuliko sheria

Utasema mbona wengine hawachepuki?

Ukweli utabaki palepale wanatamani sana walale na wanawake tofauti na wake zao lakini sheria zinawabana

Wengine pesa ya kuhonga hawana

Wengine waoga wa magonjwa ya zinaaa

Wengine wanawaza jamii itawachukuliaje
 
Siyo thithi ni SHEITWAN huwa anatupitia😜
 
Aisee mbona mimi siamini kama mpo wanawake wa hivyo mpaka huwa nashangaa watu wanaongelea nguvu za kiume alafu za kike wamezisahau wakati ndo wanaongoza kutema gemu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…