kajunjumele
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,470
- 1,352
😂😂 Sina uhakika kama huu mpira utaisha bira ya RED cardKwani sisi tunacheat na ng'ombe mpaka unatusema peke yetu!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂 Sina uhakika kama huu mpira utaisha bira ya RED cardKwani sisi tunacheat na ng'ombe mpaka unatusema peke yetu!!?
Mimi ndo nipo, Leo unaniona hapa saa hizi ujue Baba K kasafiri tangu juzi....Aisee mbona mimi siamini kama mpo wanawake wa hivyo mpaka huwa nashangaa watu wanaongelea nguvu za kiume alafu za kike wamezisahau wakati ndo wanaongoza kutema gemu?
😂😂😂
Hongera sana upo gado ,,, hapo ulipo unaweza kusukumiwa mwoto lisaa limoja au ndo wale wa dk 5?Mimi ndo nipo, Leo unaniona hapa saa hizi ujue Baba K kasafiri tangu juzi....
Akiwepo napanda kitandani Kama kila siku fainali, akinigusa nimegeuka....maisha yenyewe mafupi haya[emoji1787][emoji1787][emoji1787] tukifika miaka 60 tutaanza kuangaliana tu
Ungelikuwa mwanaume ningekueleza ukikua utajua haya masuala, ila kwa vile ni mwana mama, naamini unataka kujifunza.Naswali la heshima why mnacheat.
Na mna mke mwema, mke anakupenda na kukusaidia, nakukujali anakuzalia anafanya uitwe baba fulani.
Ila nyie kazi kuwa malaya tu ndio kazi yenu, sijui kwanini mnaoa yanini kama hamjui shida zake.
Mnakera sana nyie wamalaya mnaboa . Samahanini ila kweli mnatia hasira . Sana na hamuoni.
Kha maisha yandoa mliojiingiza sio marahisi na mkiwa malaya ndio shida na mikosi mnailetea familia zenu. Na hamuoni
Bao lilelile mkuu wambie tu hamfanani hata wao wanatamani vijana na waume za watu seme ndo ivyo hawawezi kuingia mawindoniWanaume huwa haturudhiki na K moja
Tunapenda kuonja ladha tofauti tofauti
Mchango mzuri,,, kuna demu nilimuachaga na sikutakaga tena kusikia habari zake alikuwa mzee wa kupima bando sana ikimuuliza kwanini unafanya ivi sababu hazieleweki mpaka siku moja nilitaka kumtamkia unavidonda huko ndani,,,,huyo demu sasa kuchat ndo anataka hatari hata ukimwambia ninakaz ntakutafta hataki kuelewa niliona ananisumbua tu penzi lenyewe nusunusu mamayeee nikafyekelea mbaliiiiUngelikuwa mwanaume ningekueleza ukikua utajua haya masuala, ila kwa vile ni mwana mama, naamini unataka kujifunza.
Chukua mfano umebanwa na mkojo, ukitafuta choo ikakosekana, hata aibu itakutoka utamaliza haja yako pembeni hata watu wakikuona utadai, Potelea mbali.
Kuna sababu nyingi za kuchepuka, hasa kwa waume waliooa wanawake kama ninyi ambao hamkufundwa. Mojawapo ni pale ambapo mwanamke hataki kumpa mme wake makusudi. Usisahau kuwa zile balls ni kiwanda ambacho huwa kinatengeneza mbegu. Zikijaa lazima zitoke. Ukiwa kijana utapunyetolize, ila ukizoea kuzitolea katika mwili wa binadamu, hata upunyetolize, haitamaliza ile kitu inaita ashki. Hivyo, kama unampenda mke wako sana, njia ni kutafuta shockabsorber ya muda (changu) na nikueleze ukichomeka tu hao waarabu wa DP World. Guilty Consciousness ya hilo tendo, mungu ndiye anajua.
Lakini, kabla ya kuoa, uki approach pisi kali, huwa zinakuruka ajabu. Ila ukishaoa, sijui huwa ni nini, pisi kali zinajigonga kwako. Imagine, ndani mwanamke anakueleza utakula jeuri yako wakati kuna huyu ambaye chuchu saa sita na yupo tayari apange loji kwa gharama yako.
Sababu ni nyingi lakini ujue, hakuna mwanaume ambaye ameoa anapenda kuchepuka!
NAKAZIABao lilelile mkuu wambie tu hamfanani
Naswali la heshima why mnacheat.
Na mna mke mwema, mke anakupenda na kukusaidia, nakukujali anakuzalia anafanya uitwe baba fulani.
Ila nyie kazi kuwa malaya tu ndio kazi yenu, sijui kwanini mnaoa yanini kama hamjui shida zake.
Mnakera sana nyie wamalaya mnaboa . Samahanini ila kweli mnatia hasira . Sana na hamuoni.
Kha maisha yandoa mliojiingiza sio marahisi na mkiwa malaya ndio shida na mikosi mnailetea familia zenu. Na hamuoni
un@tk kujua halafu?Naswali la heshima why mnacheat.
Na mna mke mwema, mke anakupenda na kukusaidia, nakukujali anakuzalia anafanya uitwe baba fulani.
Ila nyie kazi kuwa malaya tu ndio kazi yenu, sijui kwanini mnaoa yanini kama hamjui shida zake.
Mnakera sana nyie wamalaya mnaboa . Samahanini ila kweli mnatia hasira . Sana na hamuoni.
Kha maisha yandoa mliojiingiza sio marahisi na mkiwa malaya ndio shida na mikosi mnailetea familia zenu. Na hamuoni
😂😂😂😂kumbeTunachiti sababu tukishawaoa mnajifanya kujitoa ufahamu
Mnaanza kutunyima tamu, mnaanza kujifanya mnapenda watoto kuliko baba, mnaanza kuchukulia kila kitu kwa granted, mkiambiwa tutoke outing mnajifanya mmechoka
Unawazungumzia waasherati wala si WANAUME.Naswali la heshima why mnacheat.
Na mna mke mwema, mke anakupenda na kukusaidia, nakukujali anakuzalia anafanya uitwe baba fulani.
Ila nyie kazi kuwa malaya tu ndio kazi yenu, sijui kwanini mnaoa yanini kama hamjui shida zake.
Mnakera sana nyie wamalaya mnaboa . Samahanini ila kweli mnatia hasira . Sana na hamuoni.
Kha maisha yandoa mliojiingiza sio marahisi na mkiwa malaya ndio shida na mikosi mnailetea familia zenu. Na hamuoni
Ni utamu tuMniambie mnatakaga nini nje??