Bless mom
JF-Expert Member
- May 20, 2021
- 948
- 2,040
Mmmmh ndoa ngumu nyieee basi tuu...sheria hizi za dunianNachukia sana kumcheat na inanipaga wakati mgumu sana ila unajikuta inakubidi automatically wewe imagine mnaishi ndio ila maisha mmnayoishi hayaeleweki bas tu kuna muda mtu hana time na wewe umerudii usiku kazini mmesalimiana kwema kwema umekula, umeoga kilamtu kulala usikumwema hakuna chakuongea,
Alafu kuna mdada huko haishi kukusumbua kwanza kukujulia hali asubuh,mchana na jion kuhakikisha kwamba uko salama ndo anapata amani,ukiwa na mastress yeye ndo wa kwanza kukufariji na kukutoa kwenye stress, unajitahid kumpotezea ili usije ukamcheat mkeo lakin wap Mrembo wawatu yumo tu anakomaa hakati tamaa ivi nikasema wacha nimvute tu karibu niruke nae maisha yaende kimya kimya je bado utanilalamikia kuwa Kwanini nimecheat et nauliza