Wanaume kama umeoa hii inakuhusu

Mmmmh ndoa ngumu nyieee basi tuu...sheria hizi za dunian
 
Kama huyo mke anapatiwa mahitaji yote muhimu mume ana haki ya kupunguza stress kidogo pembeni as long as mahitaji yote muhimu unayapata. Hii hali ina apply kama mume anasimamia majukumu yote ya hapo nyumbani kwa asilimia 80.Otherwise kama hatimizi majukumu, mwanaume hatakiwi kucheat anatakiwa ajishukulie sheria mkononi anapozidiwa. Dada yangu ukiwa mke umepewa heshima yaani unajulikana mke wa .......................... , kama mumeo nina kupambania na unaishi vizuri vumilia. Maana hata hao ninaopita nao nje hawana cheo chako.
 
Malaya ni mwanamke. Mwanamke akiwa na wanaume wengi ndio anaitwa malaya ila mwanaume kuwa na wanawake wengi ni nature
 
Ukichapiwa mkeo waja kuanzisha uzi, mke lazima ajiheshimu kwenye macho ya watu ukiwa nae ndani ndoa ajiachie ikiwezekana akiwa jikoni au akiandaa msoc awe kama alivozaliwa ila sio nje kwenye macho ya watu
 
Malaya ni mwanamke. Mwanamke akiwa na wanaume wengi ndio anaitwa malaya ila mwanaume kuwa na wanawake wengi ni nature
Huu ni upuuzi hujieshimu Mungu hakusema mwanamke usizini alisema usizini meaning ni wote,kingine usimtamani mke wajirani yako nyie mnatamani msitamani chochote alicho nacho
 
Huu ni upuuzi hujieshimu Mungu hakusema mwanamke usizini alisema usizini meaning ni wote,kingine usimtamani mke wajirani yako nyie mnatamani msitamani chochote alicho nacho
Ongea kila kitu ila mwisho jua kwamba mwanamke mmoja hauwezi kumtosheleza mwanaume kimapenzi. Ndio maana dini na tamaduni zinaruhusu mwanaume kuwa na wake wengi.
 
Ongea kila kitu ila mwisho jua kwamba mwanamke mmoja hauwezi kumtosheleza mwanaume kimapenzi. Ndio maana dini na tamaduni zinaruhusu mwanaume kuwa na wake wengi.
Samahani sana ,so wewe ni mbwa koko ??
Maana huwezi kutulia kwako. Wewe ni kila mtu tu upo nAye. Maana hata mbwa wa home anamipaka
 
Shida ilianza pale Mwanadamu alipoanza kushindana na asili ya uumbaji, Mwanaume hakuumbwa kuwa wa Mwanamke mmoja.
Ndiyo maana hukuwahi kuona kwenye maandiko yoyote Mungu akimfokea Mfalme Suleiman kwa kuupiga mwingi kwenye uwanja wa fundi seremala, badala yake alimpa ahadi ya kuubariki uzao wake.
Kama umewahi kufuga hata bata tu utakuwa umenielewa huwa hakuna ratio sawa kati ya majike na madume

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Jidanganyeni
 
Natamani nipate wa hivi [emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe utakuwa una uzungu hawa wa kanda ya ziwa anakurudisha ndani ufunge kitenge
 
Jidanganyeni
Ni rahisi kudanganya kuliko kumwelewesha mtu ambaye tayari amedanganywa.
Kinachotokea ni kwamba wengi mmeaminishwa juu ya uongo wa Mke mmoja, kwahiyo ni ngumu kukubaliana na ukweli wa asili ya viumbe wa jinsi Me.
Hata migogoro mingi ya kwenye ndoa ni matokeo ya kushindana na asili ya uumbaji, kama kuleta sera ya usawa wa kijinsia lakini mwisho wake hata utekelezaji wake tu hauna uhalisia.

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…