Wanaume kama umeoa hii inakuhusu

Ukiwakuta wanawake wanavyojifanya kuumizwa na wanaume wanaocheat utadhani wapo serious. Wanawake ni wanafiki sana wanacheat sana kuliko hata sisi wanaume wake zenu wanagongwa sana jamani yani wana drama ukiwakuta wanalalamika utadhani kweli ni innocent dadeki
 
Mke kukupa tam kama ubaomba ajira TRA unasote ila nyumba ndogo au mchepuko uchoke wewe ukiwa job unaulizwa umekula? Ukirudi home demu anaanza kukulilia na kukupa pole kwa kazi. Mke anakuchukulia poa acheni bhana michepuko inalinda ndoa kuwa stable
 
Na akikubali kutoka out ukimnunulia Kuku mzima na soda anaanza kukufundisha matumizi, utasikia "Baba nanihii hii pesa si bora tungenunua tofali", na mlemba wake kitenge Kama katoka Congo🤣🤣🤣
Wifi wifi wifi
Nimekuita mara tatu 😂😂😂

Na skuna zake za umoja wa wanakwaya nyanda za juu kusini 🤣🤣
 
Hata Mimi nashangaa eti kunyimwa???
Sijawahi kufikiria kunyimwa hata Siku moja,ataanzaje kwa mfanoo?
 
Lijamaa linafaidi sana, kifupi tu watu wananyimwa sana. Wanawake wachache wanalala bila bila, yaani any time t mzigo usome? Jamaa anafaidi.
 
Anajikuta wife material 🤣🤣🤣
Hapo hajaanzisha nongwa, utasikia "kumbe unavochelewaga kurudi unakujaga huku eenh"
Mume kihere here kinamuisha, ukiona anamtoa out ujue anampeleka hospitali kazidiwa.🤣🤣🤣🤣

Wamama tupunguzege midomo🤣🤣🤣
 
mchizi kakupiga tukio nini?

Mbona unatufokea sana.
 
Tukisha waoa mnatupimia sana,yani tunabembeleza mtupe mzigo utadhani una tongoza demu bikra.

Upendo mmepunguza mnaamishia wote kwa watoto na kutusahau sisi wanaume zenu.

Tukitaka kukumbushia kunyonya hata tritriii kidogo mnasema chakula ya mtoto. Mbaya kabisa mnakaa rafu rafu na kujisahau sana.

Outing zenyewe na kwenye sherehe za marafiki zetu hamtaki kwenda na sisi. Sasa mnategemea tufanyaje zaidi ya kuchepuka
 
Nyie mnavyotuona wa maana pindi tunapo kuwa nazo tu, Na kutuona hatufai tukiwa hatuna mnafikirigi sisi hatujui kwamba kwanini mnafikia kukubali kuolewa na sisi? Kwa taarifa yako Yunik Flawa tabia yenu wanawake tunaijua na ndo maana tukizipata hatutulii tunajua tunahitajika na wengi hivyo sisi hufanya maudhurio😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…