Wanaume kama umeoa hii inakuhusu

Hapo hajaanzisha nongwa, utasikia "kumbe unavochelewaga kurudi unakujaga huku eenh"
Mume kihere here kinamuisha, ukiona anamtoa out ujue anampeleka hospitali kazidiwa.🤣🤣🤣🤣

Wamama tupunguzege midomo🤣🤣🤣
Na nguo za vitenge wanavaa dinner, wahudumu wakiwaamkia mama shikamoo wanaanzisha ugomvi 😂😂😂
 

Kwani ndoa mlifunga wawili tuu, hapakua na watu muhimu kuanzia pastor mpaka wazazi, ndoa yenu haina viongozi/mentors mnao waheshimu? Kwan uyo mke hana wakubwa zake? Kwani uliwezaje kumtongoza mpaka akushinde saivi?

Wanawake wanahitaji akili nyingi sana kuishi nao, haina formula, kila mtu anambinu zake so usije kukariri et mwanamke inatakiwa awe hivi au vile, kama bado hujakomaa kiakili bas usije kuleta lawama dhaifu kama hizi mbele ya watu wazima.

Neno la hekima kwako ni kua ndoa sio sehemu ya kupata furaha burebure, ndoa ni kama shamba biashara au kitu chochote kizuri hua ni unavuna unacho invest,

Moyo wa mwanamke/Mwanaume nikama battery mkiwa ndani ukiona mwenzako ananzakuzingua ujue charge imeisha na inabidi kujua ni nini uweke sawa maana kipindi mnaanza kupendana obviously kuna vitu mlikua mnafanyiana mpaka penzi likawa moto so ndani ya ndoa kazi hua ni kuvimaintain na kuvizidisha na iyo ndo hua shida.

Kama ulianza kwa kumnyenyekea mkeo mpaka akakukubali bas jua kwenye kichwa chake anatafsiri mapenzi ni kunyenyekewa na ampendae, kama ulitumia pesa kumpata ivo ivo akili yake itawaza upendo ni pesa au caring, so ukingia kwenye ndoa ukajifanya ooh ndoa inabidi mwanamke ndoa anyenyekee mwanaume bas jua we ndo mwenye makosa na unamkosea sana.

Kabla hujamlaumu mkeo fanya kutrack back jinsi ulivompata ulikua unamfanyia mambo gani? af jiulize saivi upo vipi!? kama ndo ivo unavyofanya na amezingua bas usiogope, toa taraka kaoe uyo anayejiweka karibu na wewe sio KUCHEAT.

Mi nimepitia magumu ya kunyimwa tendo zaidi ya miaka mi5 ila saivi napewa kama kawa sababu nilijua wapi sijakucharge nilipoanza kupacharge ye mwenyewe automatically akaanza kuniita mpaka naona usumbufu.
 
Kuwa mpole, punguza jazba kaeni chini myamalize.
 
Watakuwa wamekuelewa...
 
Tuliumbwa kwa ajili ya hawa...agano la kale wafalme walikuwa wanaoa hadi wake 100
 
Hayo tu uliyotaja hayatishi kumfanya mtu aitwe mke bora. Kuwa mke ni zaidi ys hayo mambo uliyotaja hapo kwenye uzi wako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…