Wanaume kama umeoa hii inakuhusu

Wanaume kama umeoa hii inakuhusu

Naswali la heshima why mnacheat.
Na mnamke mwema,mke anakupenda na kukusaidia , nakukujali anakuzalia anafanya uitwe baba fulani...
🎵komando, komando, komando wambie sisi ndo vipensi komando
🎵komando, komando wambie sisi ndo vipensi komando
🎵komando sisi komando wambie sisi ndo vipensi komando
🎵komando, komando wambie sisi ndo vipensi komando
 
Pole sana. Wewe hufanyi hivyo? Ungekuwa umekutana na mimi ndiyo ungejua kuna wanaume waungwana na hawa cheat. Ingekuwa unaweza kurudisha siku nyuma ningerudisha halafu tukielewana tuishi wote. Hata mimi nachukia sana watu wanao cheat kwa sababu niliwahi kuwa na mwanamke mapepe na nilikuja kugundua baadae alivyokuwa anagawa kwa waume za rafiki yake.
Mmh ! Kweli ! Maana ndio furaha yangu kama mtu hacheat maana inauma sana.
 
Hamna cha maana umalaya ni tabia ya kujiendekeza ,maisha ni simple kama una familia ifanye kama kipaumbele huko kwa vimada hamna jipya ...Mtu aje kupata magonjwa na majuto yasiyo na ukomo.

Leo upo na mkeo unamcheat siku ndoa ikivunjika na watoto wakaanza kupata tabu hata hizo nguvu za kucheat hautokuwa nazo kwa mawazo.
Ni kweli malaya hawajalike wala kucoment hapa . Hata kidogo.
 
Huwa inaudhi pale umeoa unalala kitanda kimoja halafu unafanya kubembeleza upate mchezo afu unatolewa nje
Hivi nyie mnaonyimwa mnanyimwaje nyimwaje? Au hamuwafikishi kunako???
Mimi Kwa kweli sikumbuki hata lini nililala na night dress, ni mwendo wa chuku chuku Yani mume akinigusa hata sikio nishageukaa🤣🤣🤣 Naona Kama mnatupigia Stori za uongo🤣🤣🤣
 
Usiulize kwanini wana cheat

Chamsingi weka mpango kazi wa kwamba.

Kila anaye cheat piga chini.

Mpaka umpate asie cheat.

Ni kama biashara

Mambo ni trial and error

Iki tick unaenda nayo

Ikibuma unauikacha.

Nakupa ushauri chukulia mwanume kama biashara.

Ikikupa faida nenda nayo

Ikikupa hasara temana nayo.

Ila uwe tu mvumilivu unaweza kujikuta na idadi ya biashara zisizohesabika😂😂
 
Back
Top Bottom