Wanaume kama unajua akikupa huwezi kuichapa ni mara mia uache kuwasumbua wanawake

Wanaume kama unajua akikupa huwezi kuichapa ni mara mia uache kuwasumbua wanawake

Loading failed

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2023
Posts
2,603
Reaction score
7,501
Ndugu zangu

Wanaume ni kweli tunapitia magumu ila kamwe tusikubali hizi dharau kutoka kwa hawa wanawake.

Ni mara mia kama unajua huwezi kuichapa uache kusumbua wanawake .
 
Attachments

  • Facebook.mp4
    3.1 MB
Jamaa wa watu kimemlambaaaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa wa watu kimemlambaaaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo maana tunaambianaga kabisa wanaume kama unajua akikupea huwezi kuichapa ni bora ukajilia zako kwa macho tuu kuepuka hizi fedheha
 
Ndugu zangu

Wanaume ni kweli tunapitia magumu ila kamwe tusikubali hizi dharau kutoka kwa hawa wanawake.

Ni mara mia kama unajua huwezi kuichapa uache kusumbua wanawake .
kwa hiyo sie wenye vibamia na ambao hatujuikugegeda ndio tuendelee na nyeto tuu kukwepa hizi aibu
tatizo sasa hela zetu wanazitaka
 
Halafu wazee wanasema "Vijana/Wasichana wa siku hizi hawana adabu kabisa kwa wakubwa zao"

Mzee kama huyo anachukua kabinti kadogo,unategemea huyo Binti atakuja kuwaheshimu tena wazee wa hilo rika? Wazee wote ataona kua anaweza tu kutembea nao,

Huyo Mzee angechukua tu lishangazi lililojichokea kama yeye ili ngoma iwe droo.
 
Ndo maana tunaambianaga kabisa wanaume kama unajua akikupea huwezi kuichapa ni bora ukajilia zako kwa macho tuu kuepuka hizi fedheha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] noumaah na Roboo. Lol
 
Back
Top Bottom