Wanaume kulala fofofo mara tu baada ya tendo la ndoa

Boa za kibingwa zisizidi tatu izo nyingine mbwembwe na angalia siku usije kukojoa damu
videmu vya siku hizi unakihangaikia kikipiga tatu ni uzembe..labda mke
 
Nikisharidhika mimi kwa nini nijisumbue na hela tena nikupe. I do at ma own pleasure.
 
Ndio mkuu kuna sababu ya kibaiolojia.
 
Kudanganyana tu...... tatizo ni kutokula healthy foods.

Mbaya zaidi hata wanawake hawajui wawasaidie vp wapenzi wao. mchana kutwa wako busy bandika mikucha ya bandia na kuchat.
She ain't your mama, mwanaume kama mtu mzima ajitunze afya yake mwenyewe na huwezi kumlazimisha mtu kula vitu vyenye afya. Tunashuhudia familia nyingi wanasema baba hapendi mboga za majani, sijui hapendi dona n.k atatoa wapi stamina
 
akilala mchinje umle nyama........unatemebea na mibaba mizembe mizembe ndo maaana,,,, tafuta vijana wenzio kama hujajamba wewe...
 
kwa hiyo mleta uzi huwezi kuunganisha ndani kwa ndani? loooh!
 
Sikubalian na wewe huo niuzembe wa MTU uska ,na skubalian na ww pia mwanamke alieshugulikiwa vizur ndo wakwanza kulala fofo kujisafisha kunafata badae kwanza mwingine lazima umsikilizie mapigo ya moyo km anapumua achana na kwenda na wenye vitambi jaribu wanaume wenye kiuno kuanzia size 34 had 32 naamini baada ya apo utakuja na mrejesho mzuri.
 
Sio kweli mkuu.
Wanaume wengi wanaopata shida hii ni wale wasiofanya kazi za harubu. Kazi zao mara zote hazisababishi watoe jasho la mwili.

Kiutaalamu kuchoka sana baada ya kufikia mshindo wakati wa kujamiiana ni moja ya viashiria vya shida /ugonjwa wa moyo na mishipa ya damu (cardiovascular Inefficiency). Ndiposa ushauri ni kwamba watu wote wanaopata dalili hizi wanashauriwa wafanye mazoezi ya mwili (physical exercises) mara kwa mara. Kwa ujumla hata watu wasiokuwa na dalili hizi wanapaswa kufanya mazoezi ya mwili ili kutunza afya ya mwili.
 
kulala tena? labda kama huyo kidume keshakunywa pombe zake huko,matokeo yake ni uchovu wa kilevi na si ngono..mawazo yangu jamani
 
She ain't your mama, mwanaume kama mtu mzima ajitunze afya yake mwenyewe na huwezi kumlazimisha mtu kula vitu vyenye afya. Tunashuhudia familia nyingi wanasema baba hapendi mboga za majani, sijui hapendi dona n.k atatoa wapi stamina
And I ain't your Dady either,.....then why come crying here.....go to ur dady.
 
Uchovu wa kazi za mchana unachangia,
Pia ushiriki wa tendo unatumia nguvu nyingi kwa wanaume kuliko wanawake (1.5km kwa wanawake)
 
leo nimeona bata akipiga bao basi alipomaliza kalala chini mazima
 
uzembe tu
bora umewaambia.
mi huwa natembea km30 ndani ya saa24 ila bado nakua fit sana. sijawahi kufika mwisho wa kufanya mapenzi,sio kwa demu wangu tu ila nimejaribu kwa zaidi ya wanawake 2 na wote waliishia njiani wakati mimi bado kabisa. Kikubwa kwetu wanaume nikufanya mazoezi nakula kwa mpangilio.
 
Wewe unakuta wanawake wenyewe ndo Hawa make makubwa mbaka wengine wanafanya mapenzi na mafarasi Sisi wengine ambao nibinadamu unakuta kitu Kama kuingiza mkono kwenye sufuria Sasa mbaka umalize na lenyewe limalize ukileta mchezo ukilala unalala moja Kwa Moja sio watu wa sport sport haoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…