Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Kaka ishi nayo hii, haiondoi uanaume wako ila inakupa thamani kwake na kuwa mtu bora sana
Wakati mwingine tunamchosha kwa hekaheka za usiku, amelala hoi kwasababu ya hekaheka za mahakamani yawezekana mchuano ulikuwa mkali na wenye hoja ulimlazimu kujitetea sana.
Yawezekana yupo kwenye period yenye maumivu ya tumbo, basi amka umwandalie chochote na umpumzishe kazi apumzike/alale
Yawezekana amechoka anahitaji kupumzika
Wakati mwingine hata kama hajachoka fanya hayo kwa mapenzi yako kwasababu ni sehemu ya maisha wala haindoi uanaume wako kabisa.
Mapenzi makubwa hujengwa majambozi na vitu vidogovidogo ambavyo wanaume wengi huvipuuza na kuviona si vitu vya maana kwao.