Wanaume, kumfanyia hivi mwanamke wako haiondoi uanaume wako ila inakupa thamani kubwa sana kwake

Kaka ishi nayo hii, haiondoi uanaume wako ila inakupa thamani kwake na kuwa mtu bora sana

Wakati mwingine tunamchosha kwa hekaheka za usiku, amelala hoi kwasababu ya hekaheka za mahakamani yawezekana mchuano ulikuwa mkali na wenye hoja ulimlazimu kujitetea sana.

Yawezekana yupo kwenye period yenye maumivu ya tumbo, basi amka umwandalie chochote na umpumzishe kazi apumzike/alale

Yawezekana amechoka anahitaji kupumzika

Wakati mwingine hata kama hajachoka fanya hayo kwa mapenzi yako kwasababu ni sehemu ya maisha wala haindoi uanaume wako kabisa.

Mapenzi makubwa hujengwa majambozi na vitu vidogovidogo ambavyo wanaume wengi huvipuuza na kuviona si vitu vya maana kHaya
Ukishakaa naye miaka 2 njoo ulete mrejesho,maana usifikiri kuna mwanaume hafanyi haya mapenzi yanapoanza.Wapo waliodiriki hata kupiga magoti wakati wa kuvisha pete za uchumba,wapo waliowabeba wake zao siku ya harusi,wako mpaka waliowafulia nguo za ndani,lakini shetani akishafanya yake,yote yanabakia kuwa ni ubatili mtupu......
 
Kaka ishi nayo hii, haiondoi uanaume wako ila inakupa thamani kwake na kuwa mtu bora sana

Wakati mwingine tunamchosha kwa hekaheka za usiku, amelala hoi kwasababu ya hekaheka za mahakamani yawezekana mchuano ulikuwa mkali na wenye hoja ulimlazimu kujitetea sana.

Yawezekana yupo kwenye period yenye maumivu ya tumbo, basi amka umwandalie chochote na umpumzishe kazi apumzike/alale

Yawezekana amechoka anahitaji kupumzika

Wakati mwingine hata kama hajachoka fanya hayo kwa mapenzi yako kwasababu ni sehemu ya maisha wala haindoi uanaume wako kabisa.

Mapenzi makubwa hujengwa majambozi na vitu vidogovidogo ambavyo wanaume wengi huvipuuza na kuviona si vitu vya maana kwao.

View attachment 3147565
Mwanamke ni tofauti na hawala huyo uliyenaye saivi muoe alafu ndo ujue rangi yake halisi.

Hakuna kiumbe kisichohitaji huruma kama mwanamke, mpe kitu kinachohitajika Kwa wakati ule.

Ila ukijitutumua ipo siku utasaga meno.

Mwanamke anampenda mwanaume wa shurti na asieleweka Sasa wewe jifanye urojo uone atakachokufanyia
 
Ukishakaa naye miaka 2 njoo ulete mrejesho,maana usifikiri kuna mwanaume hafanyi haya mapenzi yanapoanza.Wapo waliodiriki hata kupiga magoti wakati wa kuvisha pete za uchumba,wapo waliowabeba wake zao siku ya harusi,wako mpaka waliowafulia nguo za ndani,lakini shetani akishafanya yake yote yanabakia kuwa ni ubatili mtupu......
Huyo mpe muda Tu kitamkuta si unajua vitoto vya elfu 2 vikipata wanawake vinaona km Sisi tunakosea sena
 
unamaanisha huyu fool?!
MWAMBA KASHINDA KESI.
Mahakama Kuu ya Equatorial Guinea imemuona Bartazar Engonga hana hatia kufuatia kadhia ya video za ngono alizorekodi alipokuwa akifanya vitendo vya ngono na wanawake zaidi ya 460.

Mahakama imeridhika kuwa akina mama hao walikuwa ni watu wazima wenye maamuzi yao binafsi, hakumwambukiza yeyote kati yao gonjwa la zinaa.

Kwa upande mwingine wanaume wengi ambao walikuwa waume wa hao wanawake wamemshukuru kwa kuwasaidia kujua tabia halisi za wake zao na wengi weamua kuachana nao rasmi. Mwamba kashinda kesi.

MWAMBA ANASEMA ATAWASHITAKI WALIOVUJISHA VIDEO HIZO KWA KUMUHARIBIA FARAGHA YAKE NA KUMDHARIRISHA KWA MKE WAKE NA FAMILI NA JAMII KWA UJUMLA NIPE MAONI YAKO.
Kwani kafikishwa mahakamani SI kakamatwa Jana.

Huo ujumbe unasambaa sana nimeona sehemu nyingi , maneno hayohayo sijajua nani kaleta huo ujumbe
 
Kaka ishi nayo hii, haiondoi uanaume wako ila inakupa thamani kwake na kuwa mtu bora sana

Wakati mwingine tunamchosha kwa hekaheka za usiku, amelala hoi kwasababu ya hekaheka za mahakamani yawezekana mchuano ulikuwa mkali na wenye hoja ulimlazimu kujitetea sana.

Yawezekana yupo kwenye period yenye maumivu ya tumbo, basi amka umwandalie chochote na umpumzishe kazi apumzike/alale

Yawezekana amechoka anahitaji kupumzika

Wakati mwingine hata kama hajachoka fanya hayo kwa mapenzi yako kwasababu ni sehemu ya maisha wala haindoi uanaume wako kabisa.

Mapenzi makubwa hujengwa majambozi na vitu vidogovidogo ambavyo wanaume wengi huvipuuza na kuviona si vitu vya maana kwao.

View attachment 3147565
Bro,
Kwa matendo hayo atakuona 'simp' halafu chap atajitafutia 'bad guy' kama Baltasar Ebang Engonga
 
Kaka ishi nayo hii, haiondoi uanaume wako ila inakupa thamani kwake na kuwa mtu bora sana

Wakati mwingine tunamchosha kwa hekaheka za usiku, amelala hoi kwasababu ya hekaheka za mahakamani yawezekana mchuano ulikuwa mkali na wenye hoja ulimlazimu kujitetea sana.

Yawezekana yupo kwenye period yenye maumivu ya tumbo, basi amka umwandalie chochote na umpumzishe kazi apumzike/alale

Yawezekana amechoka anahitaji kupumzika

Wakati mwingine hata kama hajachoka fanya hayo kwa mapenzi yako kwasababu ni sehemu ya maisha wala haindoi uanaume wako kabisa.

Mapenzi makubwa hujengwa majambozi na vitu vidogovidogo ambavyo wanaume wengi huvipuuza na kuviona si vitu vya maana kwao.

View attachment 3147565
Hili nalo ni ubatili, ni upepo
 
Back
Top Bottom