Wanaume, kumfanyia hivi mwanamke wako haiondoi uanaume wako ila inakupa thamani kubwa sana kwake

Ukishakaa naye miaka 2 njoo ulete mrejesho,maana usifikiri kuna mwanaume hafanyi haya mapenzi yanapoanza.Wapo waliodiriki hata kupiga magoti wakati wa kuvisha pete za uchumba,wapo waliowabeba wake zao siku ya harusi,wako mpaka waliowafulia nguo za ndani,lakini shetani akishafanya yake,yote yanabakia kuwa ni ubatili mtupu......
 
Mwanamke ni tofauti na hawala huyo uliyenaye saivi muoe alafu ndo ujue rangi yake halisi.

Hakuna kiumbe kisichohitaji huruma kama mwanamke, mpe kitu kinachohitajika Kwa wakati ule.

Ila ukijitutumua ipo siku utasaga meno.

Mwanamke anampenda mwanaume wa shurti na asieleweka Sasa wewe jifanye urojo uone atakachokufanyia
 
Huyo mpe muda Tu kitamkuta si unajua vitoto vya elfu 2 vikipata wanawake vinaona km Sisi tunakosea sena
 
Kwani kafikishwa mahakamani SI kakamatwa Jana.

Huo ujumbe unasambaa sana nimeona sehemu nyingi , maneno hayohayo sijajua nani kaleta huo ujumbe
 
Bro,
Kwa matendo hayo atakuona 'simp' halafu chap atajitafutia 'bad guy' kama Baltasar Ebang Engonga
 
Hili nalo ni ubatili, ni upepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…