Wanaume kuweni makini sana kuoa wanawake waliotoka Vyuoni

ZINGATIENI KANUNI WANAUME WENZANGU.

1 β€œUke hautokuja kua mali yako”.
Ukiona unapewa jua ni muda wako tu wakutumia ila baada ya hapo its not guaranteed. Hakuna kitakachokupa hualali wakumiliki uke wa mtu hapa Duniani acha kudangaywa na ndoa, pesa, mali, ubabe, mapenzi n.k
 
Bora hakufa ili cha mtema kuni akione wasenge sana watu hawa wakiwa na vihela
 
Ujinga plus pumba
 
Sasa wenye elimu kubwa atawaoa nani jamani? Maana hata wenye elimu wanawaogopa.
Kama ilivyo wajinga hawaishi duniani hivyo hivyo wanaume wasiotaka kusikia kitu nje ya mwanamke msomi wapo so hao watawaoa then ita-depend na watakachokikuta kwao.

Ikiwa kheir kwao wataishi nao ikiwa worst watawaacha warudi kwa wasiokuwa na hizo elimu au wataamua kuishi nao na kufa na tai shingoni ila ukweli mwanaume kuoa msomi ni risk kubwa maana muda wowote anapoteza pambano
 
Msomeshe mfungulie biashara kama ni mama watoto wako hata akikuacha atakula na wanao
In short msamiati "msomeshe" utoe haupaswi kumuongezea mkeo elimu je ikitokea siku akakwambia anataka atafute kazi inayoendana na elimu yake utasemaje?maana kinachompa mwanamke jeuri ni kule kuwa na kitu nje ya mfumo wako.

Kama umeshamfungulia biashara hizo elimu unahangaika nazo za kazi gani tena?
 
Hii story nlivosoma mwanzo nlikuwa naiamini, ila nlivosoma hapo kuwa huyo mdada aliemsaliti kaka yako alipata ajali ya gari na kukatwa miguu, nimeanza kuitilia shaka story yako, kama vile ipo kimkakati, (kufanya watu wasipendane) world doesn't really work like that, Yani kwa vile flani kakufanyia ubaya halafu mabaya yamkute, siaminigi, watu wabaya wengi wanastawi tu.

Assuming story yako ni ya ukweli, kilichomuua kaka yako sio huyo mwanamke, kukosa maarifa ndo kulimuua kaka yako, kaka yako angetakiwa ajue kuwa kuhudumia mdada sio guarantee ya kupendwa, na alitakiwa ajue mdada ni binadamu anaeweza badilika mda wowote, hivyo alitakiwa ajiandae kisaikolojia mapema, kaka yako angejua kitakachomkuta baada ya kujaribu kujiua (kwenda motoni) , asingechukua maamuzi hayo. bikira latifah
 
"Kill the beta in you, before the beta in you kills you"- Rollo Tomassi Zemanda RedPill Prophet Equation x Extrovert Robert Heriel Mtibeli

Yupo sahihi

Ndio maana nashaurigi vijana la wanatafuta mwenza watafute Mwanamke akiwa hayupo under pressure ya jambo lolote,

Hapo atapata chaguo bora.

Lakini unatafuta Mwanamke umaskini unamtesa, sijui njaa, sijui hana pakuishi, sijui hana kazi yaani anatafuta pakujishikiza. Atakuumiza.

Kanuni yangu ni ileile. Tafuta kitu ukiwa huna shida nacho ya haraka, na hilo kitu kikiwa hakina shida na wewe ya haraka
 
Pana mwanamke mke alikuwa ni anafanya kazi shirika la kimataifa akakubali kuolewa na dereva texi japo kwao hawakuafiki.
Ndani ya ndoa washazaa na watoto mke akamnunulia mme scania mbili zipige transit nje ya nchi mme baada ya kuona mafanikio akawa mtu wa michepuko sana dharau kwa mke wa kichaga ugomvi ndani hauishi mke akamwambia yaani pesa zangu ndizo zinakupa jeuri ya kunisaliti na kunitesa badala ya kuwaza kesho yetu na watoto we ndo kumekucha umefungua zipu unijui.
Mke akatafuta mteja akazipiga bei roli zake akaweka hela mfukoni akahamia na watoto kikazi ulaya anaendeleza maisha yake.
Mme karejea kazi yake ya udereva texi.
So mme akiwa na pesa tabu mke akiwa na pesa tabu muhimu usiowane na ambae ajajitafuta kwanza akipata ndoani huwa limbukeni.
 
Aisee kaka yako nae tatizo hakuhudhuria vikao vya wanaume....hatusomeshi mwanamke na pia siku hizi hakunaga relationship, ni mwendo wa locationship. Unakamatia mpenzi pale ulipo na mkeo kudinywa na mwanaume mwengine ni kitu ambayo sio ya kukupa stress
 
Wisdom πŸ™πŸΌ
 
Wisdom πŸ™πŸΌ
 
Wewe bwana akishapafa hela mwanamke utashangaa hiyo biashara uliyomfungulia inampa kiburi.
Hawa wanawake bwana tulifanya kosa kubwa sana kama wanaume kuwawezesha.
Wataliban wana akili sana ndio maana waksema no skonga for women
 
Maisha hayana formula tu jifunze pia saikolojia za mahusiano pia usiwekeze tumaini lako kwa mwanadamu.
Braza angeijua saikolojia hii asingeathirika.
Ukiishi na mtu jiandae na matokeo ya chochote kile
Huo ndio ukweli wenyewe. Dont expect much from humans. Wee mkeo cha msingi anakupa mbususu basi. Akikunyima mbusus fukuza leta mwengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…