Wanaume, kwanini mnaoa wanawake wasio warembo kisha mnafumaniwa na warembo?

Warembo akili na nguvu zimeishia kwenye urembo. Hawa wa kawaida wana mengi ya kufanya kuziba hilo pengo la urembo.
Hakuna mwanaume mjinga wa kuoa urembo ambao ndani ya miaka kumi + unaisha. Tunaona vitu vinavyodumu.
 
Kingine,
Mwanaume anaoa mwanamke anayeweza kuvumilia madhaifu na maujinga yake. Kama huyu wa kwangu hakuna rangi hajawahi kuona, mpaka nilipoamua kutulia nna uhakika hakuna baya jingine ninaweza kumtupia akakimbia.
Sasa hao wanaoitwa 'warembo', wana option nyingi ukimzingua kidogo anapeperuka. Na hapo hajui MILUZI MINGI HUMPOTEZA MBWA!
 
Unique Flower wanawake wengi hao wanaitwa wazuri wanakua ni ngumu kuwa handle yani financial, kiuaminifu, pamoja na kuwa control kiujumla.
So mara nyingi wanaume wanaowa wanawake ambao sio chagua lao ndani ya nafsi lakini mazingira ndivo yanavyoruhusu kwa muda ule.

Napia mara nyigi sana wanaume baada ya kuoa ndio huanza kupata wanawake wazuri wazuri, ma ndipo wanapomletea mitihani
 

Yaani mimi ndio niwe wa kurushiwa maumivu kwa jina la ndoa...unifanyie mapichapicha kisa umenioa? Hiyo ndoa imekua ni uhai! Kupenda ndoa bila kujithsmini ndio matokeo yake haya yaan mtu anajisifia kbs hakuna baya ntamtupia akakimbia[emoji28][emoji28] heri kuikosa hiyo ndoa nikiwa mzima kuliko niipate na gonjwa la moyo juu!
 
Kwa Kifup Sana wanawake waremboo maranyingi hupenda Sana anasa na starehe,.

Pili huu tumia uzuri wao kama fimbo, ngao, au garantii ya maisha yao.

Mwanamke mrembo Ana kosa uvumilivu kutokana na changamoto toka huko nje.
Mfano kila siku Ana tongozwa na watu wenye pesa, muone kano, magari, nk alafu wew kwako uwe ume furia unazani kutakuwa na usalama??
 
Wewe upo upande gani mama
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Hivi kwanini kila mwanaume ukiachana na mwanamke baada ya miezi sita unakutana nae kachoka sana? Kwanini mnapenda sana hizi hadithi[emoji16][emoji1787][emoji1787]...kwamba we ndo ulikuwa unamfanya anawiri??



Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mwanaume rijali kusema uuwii!! Haaaa!! Kama Mange ni dalili ya ushoga mkuu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji1787][emoji16]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Nimeshangaa sana sana

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…