Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante studioKuna mwanamke wa maisha yako na wa tamaa zako
Kingine,
Mwanaume anaoa mwanamke anayeweza kuvumilia madhaifu na maujinga yake. Kama huyu wa kwangu hakuna rangi hajawahi kuona, mpaka nilipoamua kutulia nna uhakika hakuna baya jingine ninaweza kumtupia akakimbia.
Sasa hao wanaoitwa 'warembo', wana option nyingi ukimzingua kidogo anapeperuka. Na hapo hajui MILUZI MINGI HUMPOTEZA MBWA!
Tunakusaidia sana bro yuko safi sana shemuHahahaa Mke wangu ndio ana ngongingo kubwa ,mchepuko sina ,nakimbilia 55 nguvu zishakwisha atanilia hela tu.... 😀 😀 😀.
Katika masaa ya maisha 24 tamaa huwa ni dakika ngapi, yaani kutamani na kukidhi haja ya tamaa?Wa tamaa ndio namba 1 namba mbili wa maisha
Wewe upo upande gani mamaWadada kujeni mpitie uzi huu. Kuna salamu zenu.
Manake kuna wadada wanapenda sana waume za watu... Sijui why. Yaani wakiona pete tu ya ndoa wanaona ahaaa sponsor si ndo huyu.
Halafu wanajimwambafy kabisa na kuhakikisha wake wa ndoa wanagundua kwamba na wao wapo katika maisha ya huyo mwanamme.
Huku wakitaka hao wanaume wawaache wake zao waolewe wao kisa ni wazuri sana.
Kujeni sasa muone mnavyotumika na ndoa zao hawavunji ng'o.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28]Hapana. Wa maisha ni namba 1 na wa tamaa ni namba 2. Iko hivi, wanaume tumeumbiwa tamaa lakini sio kila tunachotamani lazima tulipate au kukitumia. Ukiona nimekuchukua nikakuweka ndani Kama mke jua tu kuwa kwanza nilikutamani then nikaona unafaa kuwa wa maisha yangu. Pamoja na kukufanya wa maisha Haina maana kuwa ndio mwisho wa tamaa zangu hapana. Bado nutaendelea kutamani kwa sababu ni udhaifu wetu wanaume, Sasa hizi tamaa baada ya kuona ndio zinaamua Aina ya mwanaume wako na jinsi alivyo na uwezo wa kushinda tamaa zake na jinsi alivyo chagua kukuheshimu na hapa ndipo panapotutafutisha Sana.
Lakini pia tupo ambao tunatamani baaada ya kuoa tukaamua kupita na kusepa lakini pia tupo ambao tukitamani na kuonja tunataka kurudi tena kuonja kwa Mara ya Pili na hili ni kosa kubwa sana ambalo linapelekea kuwa na permanent mchepuko. Sasa Basi permanent mchepuko ni kirusi kibaya Sana kwenye ndoa kwa sababu kinaitafuna ndoa ndani kwa ndani na kujikuta linakuwa sehemu ya maisha yetu ya ndoa.
NB. Sijaoa na natamani kuoa Ila naogopa maana wanawake wengi ni michepuko kwenye ndoa za watu
Hivi kwanini kila mwanaume ukiachana na mwanamke baada ya miezi sita unakutana nae kachoka sana? Kwanini mnapenda sana hizi hadithi[emoji16][emoji1787][emoji1787]...kwamba we ndo ulikuwa unamfanya anawiri??Mkuu nilikuwa na limwanamke lenye makalio makubwa kama kitimoto, aisee alikuwa anaona kama masaburi yake ndo kila kitu. Nyodo dharau vilimjaa eti madai yake yeye ni mzuri hataki kupangiwa maisha. [emoji38][emoji38][emoji38] Nilimpiga chini baada ya miezi mitano nakutana nae kachoka mbaya [emoji1787][emoji1787]
Mwanaume rijali kusema uuwii!! Haaaa!! Kama Mange ni dalili ya ushoga mkuu.Uwiii hahahahahhahaa uwiii hahahahah
Kumbe hujui sisi wanaume akili zetu zilivyo???
Umewahi jiuliza kwann wanawake wazuri wa sura na mashep hawaolewi, wengi wanazalishwa tu ?????.
Kwa Taarifa yako, kwenye Kuoa, Mwanaume anayejitambua Hutafuta Mwanamke yule kweli aliyekomaa kubeba maisha yake yenye Udhaifu na Uimara, mapungufu, uvumilivu, upendo wa dhati n.k kwa 90%.
Hawa wazuri, wapuuuzi sana, kwanza sio watiifu , pili Akili zao wanahamishia kwenye mitako na sura na lishep. Kwahiyo niwepesi kukubaisha sababu anatongozwa sanaaaa
Tatu, mwanamke anayetongozwa sanaaaaaaa kiuhalisia, atakwepa mishale 999 ila ule mmoja wa 1000 unamnasa.
Naweza kuelezeaa mengi mpaka yakatosha kitabu.
Ila la msingi...MWANAMKE MAKINI NDIO ATAOLEWA BILA KUJALISHA, SURA, UMBO N.K
namwanamke asiye makini, Atakua mchepuko tu ..hamna namna[emoji120]
We ukose michepuko? Baba lihanddome na mkwanja wa kutosha!Hahahaa Mke wangu ndio ana ngongingo kubwa ,mchepuko sina ,nakimbilia 55 nguvu zishakwisha atanilia hela tu.... 😀 😀 😀.
[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji1787][emoji16]Kingine,
Mwanaume anaoa mwanamke anayeweza kuvumilia madhaifu na maujinga yake. Kama huyu wa kwangu hakuna rangi hajawahi kuona, mpaka nilipoamua kutulia nna uhakika hakuna baya jingine ninaweza kumtupia akakimbia.
Sasa hao wanaoitwa 'warembo', wana option nyingi ukimzingua kidogo anapeperuka. Na hapo hajui MILUZI MINGI HUMPOTEZA MBWA!
Nimeshangaa sana sanaYaani mimi ndio niwe wa kurushiwa maumivu kwa jina la ndoa...unifanyie mapichapicha kisa umenioa? Hiyo ndoa imekua ni uhai! Kupenda ndoa bila kujithsmini ndio matokeo yake haya yaan mtu anajisifia kbs hakuna baya ntamtupia akakimbia[emoji28][emoji28] heri kuikosa hiyo ndoa nikiwa mzima kuliko niipate na gonjwa la moyo juu!
Haaahaaaahaaa[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]Mwanaume rijali kusema uuwii!! Haaaa!! Kama Mange ni dalili ya ushoga mkuu.