Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Huwa sina muda wa kuwashobokea wanawake...na hicho ndicho kilisababisha nichelewe hata kuoa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walifahamiana vipi na mkeoStory yako Imenikumbusha 2005,
Kuna Jamaa yangu traffic (tulisoma wote primary, Yuko morogoro) alinambia mkewe nesi kahamishiwa kikazi dar. Akifika nimpe sapoti.
Basi kipind icho namimi bado nahangaika na maisha, nmepanga. Nikampokea kwangu na baada ya siku 5 nikamtaftia nyumba akahamia chumba Cha kupanga mtaa mwingine karibu zaid na KAZIni kwake .
Basi Kuna siku akaniomba Kias flani cha pesa (nyingi kiasi), nikamwambia sina.
Akalia anashida nazo sana. Atarudisha mwisho wa mwezi. Basi Nikaenda kumkopea kwa mtu. Kurudisha Sasa ikawa kipengele. Pesa ya watu ikakaa sana kila mwezi anapiga kalenda.
Nilivomdai Sana,nikawa serious akachukia na Simu zangu akawa hapokei kabisa. Nami nikampotezea.Deni lile nikalilipa mwnyw maana mkopeshaji hamtambui uyo mdada.
Baadae jamaa yangu akawa ananiuliza maendeleo ya mkewe, nikamwambia Sijui chochote hatuna mawasiliano mazuri maana kaninunia. Sababu nikamwambia kila kitu. Jamaa akasema ataenda kuongea nae.
Jamaa alipoenda kumuuliza,
Mwanamke akajitetea kwamba hamna kitu Kama hicho, nilikua namtaka kimapenzi kinguvu kanikataa. Jamaa akaniita meza Moja na mwanamke. Huwez amini mwanamke yule bila kupepesa akasimamia Maneno Yale Yale kwamba namtaka. Honestly niliumia Sana. Kisha ikabd nijiweke pembeni zaidi na wao wote wawili. Ila jamaa hakunichukia, tukawa na mawasiliano ya juu juu tu.
2009, nikaja kukutana na jamaa kwenye msiba flani morogoro akanambia wameshaachana na uyo mkewe tangu mwaka Jana (2008). Alimfumania na mwanaume mwingine alikopanga nyumba ambae Ni mfanyakaz mwenzie daktari. Na waligombana Sana na uyo jamaa. Ila Mwanamke kamkana jamaa. Ikaisha hivyo.
Sasa 2010,nilikua na nyumba 1 kimara yenye chumban&sebule self ziko 2, uzio mmoja.
Basi Nikiwa dukan kwangu akaja jamaa mmoja akajitambulisha Ni daktari anasema kaambiwa kwangu napangisha, anahitaji chumba na sebule self. Nikasema umepata. Kodi Ni Kias flan. Akasema sawa ila mpk apakague.
Nikamwambia Kama uko tayar nikupe kijana akakuonyeshe maana pamefungwa.
Akasema yeye ana HARAKA, ila MKE wake atapitia Hapa jion akapakague akiridhika nako sawa, yeye atalipia. Nikasema POA.
Jion sim ngeni ikaingia,
Mwanamke anajitambulisha yeye Ndo MKE wa jamaa anataka akakague iyo nyumba. Nikamwmbia njoo dukan nikupe kijana akupeleke . Akasema kwasababu dukn Ni mbali nimpe kijana funguo wakutane kwny nyumba akakague. Nikasema sawa.
Baadae usiku mdada kanipigia anasema Yuko na kijana na karidhika Napo, ila kitasa Cha mlango wa chumbani Ni kibovu. Nikamwambia Kama anaweza arekebishe mwnyw atapunguza kwenye pesa yake ya Kodi Ila asifunge kitasa cha kuzidi elfu 20.Akasema sawa. Kijana akamwachia ufunguo.
Kesho yake saa 8 ananipigia kwamba tayar keshafunga kitasa Cha elfu 10, elfu 5 ufindi, jumla elfu 20. anikute wapi anipe Kodi yangu ilobaki. Nikamwambia ailete dukani kwangu
Gafla jion Niko ofsin,
Akatokea yule yule mwanamke tuliegombana nae kipind kile, kuniona akawa anajichekesha TU. Sikuonesha kinyongo nae pale pale. Akanipa Kodi yangu pungufu ya elfu 20 ela ya kitasa. Ila akasema atahamia wikendi j.mosi au j.pili. nikasema "sawa"
Baadae ameshaondoka,
Nikatafakari sana kua kumpangisha kwangu uyu mpuuzi utakua Ni ufala na dharau. ukzngatia story ya jamaa yake kua alimfumania na mfanyakaz mwenzie. Nikamkumbuka yule dokta alokuja kutafta chumba kwangu akajitambulisha Ndo mme wake.
Baada nikahisi jamaa akija kujua uyu mpuuz kapanga kwangu, na anaishi na mwanaume alomfumania nae. hatonielewa hata kidg.Ikabd niipangue gia angani.
Ijumaa ikabd nipigie kua sikujua kumbe MKE Wangu niliposafiri akishapangisha tayar kwa mtu mwingine na anahamia MDA wowote ule. Na Ela alishakula wife. Tunafanyaje sasa. Kitasa Chako unang'oa au nikurudishie Ela yako. Akasema kibaki nimrudishie TU elf 20 yake pamoja na Kodi yake. Akasema anaifata dukan. Nkasema sawa
Kaja dukan analalamika sijamfanyia fair, kapapenda na alishafanya Hadi usafi tayar. Nikamwambia Mimi mwnyw sikujua, wakulaumiwa Ni wife. Akachukua 20 + Kodi yake akaondoka zake
Sasa mistake Ni kwmaba wife sikumshirikisha huo uongo. Mwaka 1 mbele sikuMoja wife ananambia kukutana na uyo mdada k'koo wamepiga story na anamlalamikia yeye khs nyumba. Afu wife kanikana hajui chochote maana simshirikishagi kwny kupangisha nyumba.
Hapo nikajua Moja kwa Moja,
Uyo mdada keshajua tayar kua nilimfanyia kusudi TU umafia kumbadilishia gia angani pale kwangu.[emoji4]
ExactlyHata Mimi ningechukua yangu kabisa na kama bado namdai naendelea kumdai
Hapana,We jamaa una akili sana sema ungekata hela uliyokuwa unamdai ingekua swadakta
Sio lazima kujipendekeza,Tangia nianze kutongoza sijawahi kupigwa chini hata mara moja,Mimi ni mrefu,sinuki kikwapa na wala sishobokei demu ambaye hajaonesha interest kwangu![emoji28]ukila buyu nakula mara mbili yako yaani kwa kifupi sina DNA yeyote ya uchawa na kujipendekeza kwa Mwanamke yeyote
2005 alipofika kwangu, akitokea moro kuhamia darWalifahamiana vipi na mkeo
Kuna mjinga mwingine kanishow madharau hapaa bila kujua Kama mie nimetumwa kuja kulipa mishahara any way ngoja tuone mwisho wa pictureJumatatu asubuhi mida ya breakfast nilitoroka kwenye ka mishe kangu kidogo nikaenda kufungua kinywa kidogo pale Dodoma kuna mgahawa upo karibu na TRA kwa wanaopajua.
Ok twende mbele,au basi mbele kote kwanini huko?
Well mdogo mdogo. Nikacheki meza ambayo ni empty lakini nikakosa,kutokana na kwamba almost meza zote unakuta kuna mtu mmoja au wawili pengine mpaka watatu. Hivyo nikaangaza macho mpaka mwisho wa kona kabisa.
Nikaenda moja kwa moja kukaa kwani niliona pananifaa zaidi. Mezani hapo alikaa dada mmoja mnene kiasi,miwani yake ya macho,shati la mikono mirefu la blue bahari, suruali ya kitambaa ya blue huku akiwa kachomekea vilifanya karibu watu wengine wote wamtazame kwa kuibia ibia kama mimi. Sikujali nikaenda hapo alipo.
"Dada samahani naweza kukaa kama hutojali" nikaona ni uungwana kuuliza kwani hata nisingeuliza bado ni sawa kwani nakula bure bwana eeh?
Yeye: "hapana"( akajibu kiufupi) sikujali nikakaa kisha nikaagiza nikaanza kukifyeka huku yeye pia yuko bize anakula.
Dakika si nyingi akamaliza kula na kuamka kwenda kunawa nikataka niseme kitu ikabidi nimuwahi
Mimi: "dada, Dadaa samahani naomba nikuulize kidogo"akasimama kisha akageuka halafu akaniangalia kisha akaendelea na safari yake baadhi ya watu wakabaki wananiangalia kwa macho ya "uachage kushobokea watu bwege wewe"
Mtu mzima nikajizoa zoa weee yakaisha.
Well twende mbele sasa,maana nikirudi mtasema kufanya nini sasa? Au basi katikati ndo panafaa sana..[emoji38][emoji38]
Week moja mbele siku ya jumapili tu hapa mtaa ninaoishi ndani kuna nyumba tatu na zipo ndani ya uzio.
Moja ninakaa mimi na mbili hazina watu natafutaga sana wapangaji.
Najua wanajf mtamaindi kusikia namiliki nyumba tatu,maana wabongo kwa kukunja hamjambo [emoji23][emoji23]..
Vuuup dalali huyu hapa kaniletea mteja anataka nyumba,nikaona afadhali sasa nyumba ipate mtu angalau hela iende kwenye mafuta si mnajua yamepanda?
Kuuliza mteja mwenyewe ni nani, guess what?
Ni yule yule dada niliekaa naye kwenye mgahawa pale karibu na kazini na akaniletea nyodo huenda alidhani nilitaka kumtongoza.
Aliponiona akaanza
Yeye: "ooh kumbe huyu kaka ndo mwenye nyumba? Namjua huyu afadhali kodi angalau atakuwa ananipa muda kidogo, eeh sa masiku mkaka?"akawa mchangamfu ghafla sana mimi nimenyuti tu nasikiliza.
Nikamwambia short and clear kodi bei yake na wala sipunguzi,alipe au akatafuta nyumba kwengine..
Nadhani alijua nitajirahisisha kama siku ile,labda uzuri wake nitababaika.
Lakini wazee ni pesa ndo inazungumziwa hapo si mnaona?
Kodi alilipa ,na kwa sasa ni mpangaji wangu na tunaishia kusalimiana tu pasipo mazoea mengine yasiyo na msingi..
Muda mwengine ni bora kutulia na kufuata mambo yako kuliko kujirahisisha hovyo hovyo na kujidhalilisha..!
Hata humu jamvini pia vidume vikware nawasihi acheni kuwa na tamaa na wanawake penda unapopendwa, sikiliza unaposikilizwa, zingatia unapozingatiwa.
FUNZO: ukiona pisi kali tumia kondom hata kama umeoa..[emoji23][emoji23]
Tunasubiri mrejesho mkuuKuna mjinga mwingine kanishow madharau hapaa bila kujua Kama mie nimetumwa kuja kulipa mishahara any way ngoja tuone mwisho wa picture
Kama Kodi alikupa bila kuandikishiana wewe husinge mrudishia na wewe unge mkana kabisaStory yako Imenikumbusha 2005,
Kuna Jamaa yangu traffic (tulisoma wote primary, Yuko morogoro) alinambia mkewe nesi kahamishiwa kikazi dar. Akifika nimpe sapoti.
Basi kipind icho namimi bado nahangaika na maisha, nmepanga. Nikampokea kwangu na baada ya siku 5 nikamtaftia nyumba akahamia chumba Cha kupanga mtaa mwingine karibu zaid na KAZIni kwake .
Basi Kuna siku akaniomba Kias flani cha pesa (nyingi kiasi), nikamwambia sina.
Akalia anashida nazo sana. Atarudisha mwisho wa mwezi. Basi Nikaenda kumkopea kwa mtu. Kurudisha Sasa ikawa kipengele. Pesa ya watu ikakaa sana kila mwezi anapiga kalenda.
Nilivomdai Sana,nikawa serious akachukia na Simu zangu akawa hapokei kabisa. Nami nikampotezea.Deni lile nikalilipa mwnyw maana mkopeshaji hamtambui uyo mdada.
Baadae jamaa yangu akawa ananiuliza maendeleo ya mkewe, nikamwambia Sijui chochote hatuna mawasiliano mazuri maana kaninunia. Sababu nikamwambia kila kitu. Jamaa akasema ataenda kuongea nae.
Jamaa alipoenda kumuuliza,
Mwanamke akajitetea kwamba hamna kitu Kama hicho, nilikua namtaka kimapenzi kinguvu kanikataa. Jamaa akaniita meza Moja na mwanamke. Huwez amini mwanamke yule bila kupepesa akasimamia Maneno Yale Yale kwamba namtaka. Honestly niliumia Sana. Kisha ikabd nijiweke pembeni zaidi na wao wote wawili. Ila jamaa hakunichukia, tukawa na mawasiliano ya juu juu tu.
2009, nikaja kukutana na jamaa kwenye msiba flani morogoro akanambia wameshaachana na uyo mkewe tangu mwaka Jana (2008). Alimfumania na mwanaume mwingine alikopanga nyumba ambae Ni mfanyakaz mwenzie daktari. Na waligombana Sana na uyo jamaa. Ila Mwanamke kamkana jamaa. Ikaisha hivyo.
Sasa 2010,nilikua na nyumba 1 kimara yenye chumban&sebule self ziko 2, uzio mmoja.
Basi Nikiwa dukan kwangu akaja jamaa mmoja akajitambulisha Ni daktari anasema kaambiwa kwangu napangisha, anahitaji chumba na sebule self. Nikasema umepata. Kodi Ni Kias flan. Akasema sawa ila mpk apakague.
Nikamwambia Kama uko tayar nikupe kijana akakuonyeshe maana pamefungwa.
Akasema yeye ana HARAKA, ila MKE wake atapitia Hapa jion akapakague akiridhika nako sawa, yeye atalipia. Nikasema POA.
Jion sim ngeni ikaingia,
Mwanamke anajitambulisha yeye Ndo MKE wa jamaa anataka akakague iyo nyumba. Nikamwmbia njoo dukan nikupe kijana akupeleke . Akasema kwasababu dukn Ni mbali nimpe kijana funguo wakutane kwny nyumba akakague. Nikasema sawa.
Baadae usiku mdada kanipigia anasema Yuko na kijana na karidhika Napo, ila kitasa Cha mlango wa chumbani Ni kibovu. Nikamwambia Kama anaweza arekebishe mwnyw atapunguza kwenye pesa yake ya Kodi Ila asifunge kitasa cha kuzidi elfu 20.Akasema sawa. Kijana akamwachia ufunguo.
Kesho yake saa 8 ananipigia kwamba tayar keshafunga kitasa Cha elfu 10, elfu 5 ufindi, jumla elfu 20. anikute wapi anipe Kodi yangu ilobaki. Nikamwambia ailete dukani kwangu
Gafla jion Niko ofsin,
Akatokea yule yule mwanamke tuliegombana nae kipind kile, kuniona akawa anajichekesha TU. Sikuonesha kinyongo nae pale pale. Akanipa Kodi yangu pungufu ya elfu 20 ela ya kitasa. Ila akasema atahamia wikendi j.mosi au j.pili. nikasema "sawa"
Baadae ameshaondoka,
Nikatafakari sana kua kumpangisha kwangu uyu mpuuzi utakua Ni ufala na dharau. ukzngatia story ya jamaa yake kua alimfumania na mfanyakaz mwenzie. Nikamkumbuka yule dokta alokuja kutafta chumba kwangu akajitambulisha Ndo mme wake.
Baada nikahisi jamaa akija kujua uyu mpuuz kapanga kwangu, na anaishi na mwanaume alomfumania nae. hatonielewa hata kidg.Ikabd niipangue gia angani.
Ijumaa ikabd nipigie kua sikujua kumbe MKE Wangu niliposafiri akishapangisha tayar kwa mtu mwingine na anahamia MDA wowote ule. Na Ela alishakula wife. Tunafanyaje sasa. Kitasa Chako unang'oa au nikurudishie Ela yako. Akasema kibaki nimrudishie TU elf 20 yake pamoja na Kodi yake. Akasema anaifata dukan. Nkasema sawa
Kaja dukan analalamika sijamfanyia fair, kapapenda na alishafanya Hadi usafi tayar. Nikamwambia Mimi mwnyw sikujua, wakulaumiwa Ni wife. Akachukua 20 + Kodi yake akaondoka zake
Sasa mistake Ni kwmaba wife sikumshirikisha huo uongo. Mwaka 1 mbele sikuMoja wife ananambia kukutana na uyo mdada k'koo wamepiga story na anamlalamikia yeye khs nyumba. Afu wife kanikana hajui chochote maana simshirikishagi kwny kupangisha nyumba.
Hapo nikajua Moja kwa Moja,
Uyo mdada keshajua tayar kua nilimfanyia kusudi TU umafia kumbadilishia gia angani pale kwangu.[emoji4]
Nimependa uamuzi wako mkuuStory yako Imenikumbusha 2005,

Nataka nije kupanga nyumba iliyobaki...naomba nielekeze mahali nyumba ilipoJumatatu asubuhi mida ya breakfast nilitoroka kwenye ka mishe kangu kidogo nikaenda kufungua kinywa kidogo pale Dodoma kuna mgahawa upo karibu na TRA kwa wanaopajua.
Ok twende mbele,au basi mbele kote kwanini huko?
Well mdogo mdogo. Nikacheki meza ambayo ni empty lakini nikakosa,kutokana na kwamba almost meza zote unakuta kuna mtu mmoja au wawili pengine mpaka watatu. Hivyo nikaangaza macho mpaka mwisho wa kona kabisa.
Nikaenda moja kwa moja kukaa kwani niliona pananifaa zaidi. Mezani hapo alikaa dada mmoja mnene kiasi,miwani yake ya macho,shati la mikono mirefu la blue bahari, suruali ya kitambaa ya blue huku akiwa kachomekea vilifanya karibu watu wengine wote wamtazame kwa kuibia ibia kama mimi. Sikujali nikaenda hapo alipo.
"Dada samahani naweza kukaa kama hutojali" nikaona ni uungwana kuuliza kwani hata nisingeuliza bado ni sawa kwani nakula bure bwana eeh?
Yeye: "hapana"( akajibu kiufupi) sikujali nikakaa kisha nikaagiza nikaanza kukifyeka huku yeye pia yuko bize anakula.
Dakika si nyingi akamaliza kula na kuamka kwenda kunawa nikataka niseme kitu ikabidi nimuwahi
Mimi: "dada, Dadaa samahani naomba nikuulize kidogo"akasimama kisha akageuka halafu akaniangalia kisha akaendelea na safari yake baadhi ya watu wakabaki wananiangalia kwa macho ya "uachage kushobokea watu bwege wewe"
Mtu mzima nikajizoa zoa weee yakaisha.
Well twende mbele sasa,maana nikirudi mtasema kufanya nini sasa? Au basi katikati ndo panafaa sana..😆😆
Week moja mbele siku ya jumapili tu hapa mtaa ninaoishi ndani kuna nyumba tatu na zipo ndani ya uzio.
Moja ninakaa mimi na mbili hazina watu natafutaga sana wapangaji.
Najua wanajf mtamaindi kusikia namiliki nyumba tatu,maana wabongo kwa kukunja hamjambo 😂😂..
Vuuup dalali huyu hapa kaniletea mteja anataka nyumba,nikaona afadhali sasa nyumba ipate mtu angalau hela iende kwenye mafuta si mnajua yamepanda?
Kuuliza mteja mwenyewe ni nani, guess what?
Ni yule yule dada niliekaa naye kwenye mgahawa pale karibu na kazini na akaniletea nyodo huenda alidhani nilitaka kumtongoza.
Aliponiona akaanza
Yeye: "ooh kumbe huyu kaka ndo mwenye nyumba? Namjua huyu afadhali kodi angalau atakuwa ananipa muda kidogo, eeh sa masiku mkaka?"akawa mchangamfu ghafla sana mimi nimenyuti tu nasikiliza.
Nikamwambia short and clear kodi bei yake na wala sipunguzi,alipe au akatafuta nyumba kwengine..
Nadhani alijua nitajirahisisha kama siku ile,labda uzuri wake nitababaika.
Lakini wazee ni pesa ndo inazungumziwa hapo si mnaona?
Kodi alilipa ,na kwa sasa ni mpangaji wangu na tunaishia kusalimiana tu pasipo mazoea mengine yasiyo na msingi..
Muda mwengine ni bora kutulia na kufuata mambo yako kuliko kujirahisisha hovyo hovyo na kujidhalilisha..!
Hata humu jamvini pia vidume vikware nawasihi acheni kuwa na tamaa na wanawake penda unapopendwa, sikiliza unaposikilizwa, zingatia unapozingatiwa.
FUNZO: ukiona pisi kali tumia kondom hata kama umeoa..😂😂